Unadhani kwanini CCM kumteua Dkt.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa Urais na Stephen Wasira kama M/kiti CCM taifa, upinzani nchini umekata tamaa?

Unadhani kwanini CCM kumteua Dkt.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa Urais na Stephen Wasira kama M/kiti CCM taifa, upinzani nchini umekata tamaa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
My friends, ladies and gentlemen,

Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi Zanzibar, Dr.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa uraisi wa JMT, na Dkt.
Samia Suluhu Hassan kama mgombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Unadhani ni sababu gani hasa za msingi zimewapa kiwewe upinzani hata kuweweseka, kupoteza uelekeo, matumanini na kukata tamaa kwa kiwango hiki kuelekea Oct 2025?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Hivi umeshajiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna wana ccm wenye nguvu hawajampost mama kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwaka huu?

Kijana amka usingizini!!
 
My friends, ladies and gentlemen,

Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi Zanzibar, Dr.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa uraisi wa JMT, na Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Unadhani ni sababu gani hasa za msingi zimewapa kiwewe upinzani hata kuweweseka, kupoteza uelekeo, matumanini na kukata tamaa kwa kiwango hiki kuelekea Oct 2025?
 
Hivi umeshajiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna wana ccm wenye nguvu hawajampost mama kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwaka huu?

Kijana amka usingizini!!
yaani uko CCM,
wewe ndio umempendekeza na wewe ndie umetoa azimio, na wewe ndie umepigia kura azimio la kumpendekeza Dr. Samia Suluhu Hassan awe mgombea Urais wa JMT halafu unakuja tena kumpongeza right?

huo utakua unafiki au ushirikiana gentleman?🐒
 
Kwa nn sasa huwa mnajizungusha mitandaoni na hashtag ya #mamaanaupigamwingi kama ndiyo iko hivi?

Yani kwa nn mumsifu kwa kufanya kile alichotakiwa kufanya, wajibu wake i mean.
 
Kwa nn sasa huwa mnajizungusha mitandaoni na hashtag ya #mamaanaupigamwingi kama ndiyo iko hivi?

Yani kwa nn mumsifu kwa kufanya kile alichotakiwa kufanya, wajibu wake i mean.
Yes, its true,
mama ameupiga mwingi mno kwasababu ilani ya uchaguzi ya CCM ameitekeleza kwa zaidi ya 98%

anaaminika na anakubalika mno kitaifa na kimataifa 🐒 🐒
 
My friends, ladies and gentlemen,

Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi Zanzibar, Dr.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa uraisi wa JMT, na Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Unadhani ni sababu gani hasa za msingi zimewapa kiwewe upinzani hata kuweweseka, kupoteza uelekeo, matumanini na kukata tamaa kwa kiwango hiki kuelekea Oct 2025?[emoji205]

Mungu Ibariki Tanzania.
KMMK fala kweli wewe. Ninyi ndio mnaoharibu mustakabali wa nchi hii..
 
Hivi umeshajiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna wana ccm wenye nguvu hawajampost mama kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwaka huu?

Kijana amka usingizini!!
Daaah hata mimi nimefatilia account za wajumbe nyingi hawajampongeza Mama! Hata Makonda pamoja na uchawa wote hajampongeza kabisa!
Mawaziri wenyewe baadhi hawakupongeza hapa ni ishara mbaya
 
Mavi matupu. Nasikia huko ccm mwenyekiti hakutaka kupata mpinzani amejiteua ili agombee urais. Kwani bila ya figisu za upoliccm mbona hamjiamini kuendesha shughuli za uchaguzi kwa uwazi?
 
Back
Top Bottom