My friends, ladies and gentlemen,
Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi Zanzibar, Dr.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa uraisi wa JMT, na Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Unadhani ni sababu gani hasa za msingi zimewapa kiwewe upinzani hata kuweweseka, kupoteza uelekeo, matumanini na kukata tamaa kwa kiwango hiki kuelekea Oct 2025?
yaani uko CCM,Hivi umeshajiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna wana ccm wenye nguvu hawajampost mama kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwaka huu?
Kijana amka usingizini!!
Kwa nn sasa huwa mnajizungusha mitandaoni na hashtag ya #mamaanaupigamwingi kama ndiyo iko hivi?yaani uko CCM,
wewe ndio umempendekeza na wewe ndie umetoa azimio, na wewe ndie umepigia kura azimio la kumpendekeza Dr. Samia Suluhu Hassan awe mgombea Urais wa JMT halafu unakuja tena kumpongeza right?
huo utakua unafiki au ushirikiana gentleman?π
Yes, its true,Kwa nn sasa huwa mnajizungusha mitandaoni na hashtag ya #mamaanaupigamwingi kama ndiyo iko hivi?
Yani kwa nn mumsifu kwa kufanya kile alichotakiwa kufanya, wajibu wake i mean.
KMMK fala kweli wewe. Ninyi ndio mnaoharibu mustakabali wa nchi hii..My friends, ladies and gentlemen,
Kuuna hali ya wazi kabisa ya kukata taamaa na kupoteza matumani na uelekeo kwa upinzani nchini, hasa baada ya chama tawala CCM kumteua Stephen Wasira kama Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa bara, Dr.Hussein Mwinyi kama Makamu mwenyekiti wa CCM na mgombea uraisi Zanzibar, Dr.Emmanuel Nchimbi kama mgombea mwenza wa uraisi wa JMT, na Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Unadhani ni sababu gani hasa za msingi zimewapa kiwewe upinzani hata kuweweseka, kupoteza uelekeo, matumanini na kukata tamaa kwa kiwango hiki kuelekea Oct 2025?[emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania.
Daaah hata mimi nimefatilia account za wajumbe nyingi hawajampongeza Mama! Hata Makonda pamoja na uchawa wote hajampongeza kabisa!Hivi umeshajiuliza ni kwa nini mpaka sasa hakuna wana ccm wenye nguvu hawajampost mama kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa mgombea mwaka huu?
Kijana amka usingizini!!