Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
WeeeeMaslahi
Hadhira
Siasa
Kuna ukweli fulaniTbc inasikilizwa na watu wa hovyo hasa ccm
Ina maana hata TBC wanaonesha mpira. Mimi nimeangalia kwenye azam channels tuNaona aliyebaki ni Mkwasa pekee, naye ni Kama anajuta kubaki
Unadhani kisa gani kinasababisha wachambuzi wa soka kuikimbia TBC?
Wanaonyesha mechi moja mojaIna maana hata TBC wanaonesha mpira. Mimi nimeangalia kwenye azam channels tu
KabisaUkweli na Uhakika
Naona aliyebaki ni Mkwasa pekee, naye ni Kama anajuta kubaki
Unadhani kisa gani kinasababisha wachambuzi wa soka kuikimbia TBC?
Na mechi ikionyeshwa huko then huku Azam channels inakuwa haioneshwi pia au inakuwa inarushwa pote kwa wakati mmojaWanaonyesha mechi moja moja
Wachambuzi wapo wengi tu hawawezi kuishaNaona aliyebaki ni Mkwasa pekee, naye ni Kama anajuta kubaki
Unadhani kisa gani kinasababisha wachambuzi wa soka kuikimbia TBC?
Uliowataja Hawakubaliki Yaani TBC Watafute Kazi Ya KufanyaHapo wanahitajika wakongwe kwenye tasnia labda waende akina Pasco Mayala na Cyprian Musiba ndio wafanye uchambuzi