Unadhani nani mkali 20% & Diamond?

hapa sawa unamshindanisha torres na hazard alafu unasema TORRES yupo juu kwa 7bu anapata pesa ndefu,kuingiza pesa nyingi ktk fani yako haimaanishi kuwa upo vizuri upande huo,beckham alikuwa na kiwango gani ktk soka?Na mbona alikuwa anapiga pesa ndefu kupita claudio makelele?
Hiyo ni mifano tu ila tukirudi kwenye mada kimuziki 20% YUPO JUU ZAIDI YA NDOMO,
ILA KWA SENTI,KUVAA VIMINI NA KUPAKA INA JABA YUPO JUU MARA ELFU 1000
 

Bora umeongea.
Watu wanaamini kupiga hela ndefu katika fani ndo kua mkali wa fani husika...

Ndo mana nikawapa mfano wa Diddy na Eminem,
Ama Jay Z na Eminem.

Ulivotoa mfano wa Beckham umemaliza kabisa....
Beckham alikua mtupu sana lakini hela inaingia tu....
 
Mtazamo wangu...
1.Sauti-Diamond
2.Mashairi(Ujumbe)-20%
3.Kucheza-Diamond
4.Muonekano(Star look)-Diamond
5.Nyota ya kupendwa-Diamond
6.Ubunifu na kujituma-Diamond
Hitimisho: kulingana na vigezo tajwa hapo juu nathubutu kusema Diamond ni mkali zaidi ya 20%
 

Duuuuuh unahacira! Xema humkubali mchizi bac yaishe talalila nyngiiiii!
 

Ni saidie kumshangaa!! Asa ukali wanaoutaka wao ni Upi? Wacichoelewa nnn? Waache wataelewa keshokutwa kama cio mtondogoo!
 
Mizani ya muziki bongo haipo sawa,wasanii wengi wabovu wanafanya vizuri Sokoni,walioshuka chati nao sio kwamba hawajui,kuna watu wameshika remote,ukichanganya 'fitina' na 'uchawi' wa akina sijui Babu nani yulee ndo balaaaaa
 

Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa
 
Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa

Labda wataujulia kwa mama ako.
Who cares??
 

Star look kisa ana domo ka chai jaba ama
 
Alhaji twenty paa ni mkali.

Anaweza asiwe na umaarufu kama wa daimondi kutokana na mambo mengi kwani kwenye showbiz kupata mafanikio/kukubalika sio kipaji au ubora wa kazi pekee bali mambo mengi yanahusika.

Miaka kumi kutoka sasa nyimbo kama za 20% kama tamaa mbaya, mtoto tulia, malumbano,maisha na binti kimanzi zitakuwa hazijachuja kulinganisha na za daimondi kama number one, kamwambie, moyo wangu n.k.

Sasa hivi nyimbo za J Nature za miaka 10-15 iliyopita ukizisikiliza bado hazijachuja kulinganisha na nyimbo za Dully sykes, Mike tee na TID za muda huo, ingawa hawa jamaa kuna muda walikuwa na umaarufu kuliko J nature.
 
Jamani matusi ya nini? Kumkashfu mtu mwenzetu kwa maumbile aliyopewa na Mola si vema jamani! Hata kama humkubali si busara kuporomosha matusi!
 
Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa

Wewe ni ME au KE?
 
Asa ucipopata mashabki ukali wako 2taujulia Wap? Chumbani au!! Ukali mnaouzungumzia nyie ni upi, ustaarabu au!! Mmekomaa na mada ya sket!!! Duuuh bnadam nomaa

Wewe ni ME au KE?
 
Inabd sometyms uwe unaelewa cjamtetea diamond kuvaa sket coz cio issue nzur hata kdogo, lakn 2kiendelea kuidscuss itabadlisha nn? Kwani wangap wamefanya ya ajab na mmewaacha, by the way he is my funny cna nnacho gain kutoka kwake inabd uelewe, tatzo lenu mkimchukia m2 mnataka kla m2 amchukie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…