MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kama Kumbukumbu zangu hazijakosea katika wale Champions wa Kudai Katiba Mpya nchini Tanzania Profesa Shivji nae yupo au alikuwepo bila kuwasahau na Waandamizi wenzake kama akina Mzee Warioba ( Jaji na Waziri Mkuu Mstaafu ) na Mzee Butiku ( Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Mwalimu Nyerere ) na wengine baadhi tena Wastaafu kutoka Taasisi Nyeti Tanzania.
Hata hivyo nimeshangaa na hata Kushtushwa baada ya kuona akinukuliwa mahala hasa Magazetini na Mitandaoni sasa akisema kuwa Katiba Mpya isikurupukiwe Kwanza kwani kama Taifa tunahitaji Mjadala mpana juu ya hili.
Kwanini Wasomi tena Wanazuoni kabisa wa Tanzania wanapenda mno Kutuchanganya Akili zetu kana kwamba Watanzania wengine ni Mambumbumbu tu ni unaweza ukawaja Ujinga au Upumbavu fulani na si tu wakauamini bali wataufuata pia?
Je, Profesa Shivji yupo sahihi na ana Hoja ya Msingi Kwetu tunaojua Uwezo wake mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaaluma na Kiuweledi au pengine anaanza tu Kuzeeka vibaya hivyo tumsamehe na tumuambie atuache na ajikite zaidi katika Kuwalea Wajukuu zake na Vilembwe wake tu?