Unadhani ni kwanini ghafla tu CHADEMA wanakiogopa sana na kukichukia chama cha ukombozi wa umma (Chaumma)?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa.

Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?πŸ’

Mungu Ibariki Tanzania

 
Ukiona chawa yoyote anasifia jambo flani jua yupo na maslai nacho kwa upande wa ccm
 
Itakua ni matumizi mabaya ya chuki sasa! Wenye chuki ni watekaji na wauaji kwa chadema amani tu kenge
 
Chawa na mwanachama wa ccm anaongelea chaumma..
 
elezea wadau kwa kifup tu gentleman,
kulikoni chadema wanaichukia and kukiogopa CHAUMA?πŸ’
Chawa na mwanachama wa ccm anaongelea chaumma..
Labda uelezee namna mlivyomuua ally kibao na mdude.
 
Chawa na mwanachama wa ccm anaongelea chaumma..
Labda uelezee namna mlivyomuua ally kibao na mdude.
jikite kwenye hoja mahusisi mezani gentleman bila kuhamisha mjadala au kumbwelambwela mambo mengine kwa mihemko πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…