Hii CDM inayoogopwa na Wazee wa 13 Million ije kuogopa wala ubwabwa mbona dharau sana? Chama kina press zaidi ya elfu mia kenda arobaini hakijafanya hata mkutano mmoja wa hadhara unaichujukiaje CDM ambayo inapambana na tawala na machinery zake zote + msajili wa vyama+ vyama vingine shikizi 17Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa.
Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?π
Mungu Ibariki Tanzania
View attachment 3352080
Chawa na mwanachama wa ccm anaongelea chaumma..jikite kwenye hoja mahusisi mezani gentleman bila kuhamisha mjadala au kumbwelambwela mambo mengine kwa mihemko π
CHADEMA haiogopi CHAUMMA+Mutungi.kama ni hivyo,
kulikoni sasa kuikasirikia na kuigopa CHAUMA gentleman?π
Acha uzushi kaka.Kuelekea uchaguzi Mkuu wa kihistoria Tanzania mnamo October mwaka huu 2025, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetokea kukiogopa na kukichukia sana Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) kwenye medani ya siasa.
Unadhani hali hiyo imechochewa na nini?π
Mungu Ibariki Tanzania
View attachment 3352080
Chaumma ni mashetani lazima yatajweKila kwenye mkutano wao Sasa lazima wakitaje chauma
kwanini CHAUMA wakiwa wanajieleza kwenye media mnatukana sana kwenye comment kama sio chuki na woga gentleman?πWakiogope kwa sababu gani , chadema hawaogopi chama chochote kuelekea.kwenye huu uchafuzi unaokuja kwani hakishiriki uchafuzi huo.
Jamaa unahangaika sana na chadema .
Chadema hawashiriki uchafuzi nyie dealing na vyama hivyo vitakavyoshiriki huo uchafuzi
kama vile CHADEMA inaitwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na CHAUMA inaitwa Chama Cha Ukombozi wa Umma gentleman.Hiki Chama cha ubwabwa Tanzania kimekua cha ukombozi tena?
Hao wamefata ubwabwa huko tusipeane matumaini hapa.