Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa?
Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya kuvutia, ni athari za mfumo dume ndani ya vyama, mila , desturi na imani potofu dhidi ya wanawake na uongozi, ubutu wa katiba za vyama kuhusu masula ya kijinsia, upole na unyonge wao, kutokujiamini au hakuna upendo ndani ya vyama hivyo vya kisiasa kwa wanawake?
Ni kwanini hali iko hivyo?🐒
Mungu Ibariki Tanzania