TWAWEZA ni ya kada wa CCMHata wanachama wengi wa chama tawala hawafurahishwi na UTAWALA huu ulio tokea kwa habati mbaya.
Kiasili UTAWALA na MAMLAKA ni mwanaume ndie hufaa kuwa pale.
Na wapo wanawake wengi tu wanao amini kwenye UTAWALA na MAMLAKA ya mwanaume.
Mkuu ebu achana na mambo ya TWAWEZA...π
Mkuu ukiandika mapenzi na mahusiano unaandika vitu vizuri sana, huku kwenye siasa unaandika porojo sana.Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa?
Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya kuvutia, ni athari za mfumo dume ndani ya vyama, mila , desturi na imani potofu dhidi ya wanawake na uongozi, ubutu wa katiba za vyama kuhusu masula ya kijinsia, upole na unyonge wao, kutokujiamini au hakuna upendo ndani ya vyama hivyo vya kisiasa kwa wanawake?
ni kwanini hali iko hivyo?π
Mungu Ibariki Tanzania
kwani wewe mama Ima tangu umejiunga chadema na ukawa muweka hazina wa BAWACHA ngaramtoni, umewahi kupanda hata kua mjumbe wa kamati kuu wilaya kweli achilia mbali kanda?πKwani nyie wanawake wa CCM mmepewa uongozi wa juu na nani au kile kifo cha Magu ndiyo mlipewa na CCM?
Nadhani sote ni mashahidi jinsi ambavyo vyama vinavyoongozwa na wanaume pekee, maamuzi yao ndani ya vyama vyao mengi yamekua ya kukurupuka sana, kunaonekana malumbano ya chini kwa chini baina ya viongozi wanaume ndani ya vyama, kunaonekana kuna kaulevi wa pombe, vyeo na madaraka kwenye maamuzi, ufujaji wa fedha za vyama n.kHata wanachama wengi wa chama tawala hawafurahishwi na UTAWALA huu ulio tokea kwa habati mbaya.
Kiasili UTAWALA na MAMLAKA ni mwanaume ndie hufaa kuwa pale.
Na wapo wanawake wengi tu wanao amini kwenye UTAWALA na MAMLAKA ya mwanaume.
Mkuu ebu achana na mambo ya TWAWEZA...π
Mama Ima, mama Ima, mama Ima, muweka hazina BAWACHA ngara mtoni kufuru na laana ya kuchoma vitenge hadharani imeanza kufanya kazi...TWAWEZA ni ya kada wa CCM
sasa gentleman,Mkuu ukiandika mapenzi na mahusiano unaandika vitu vizuri sana, huku kwenye siasa unaandika porojo sana.
Chama kikongwe ki wapi?Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa?
Ni hawana uwezo, hawaaminiki wala kuthaminika ndani ya vyama vyao, hawana mipango madhubuti ya kuvutia, ni athari za mfumo dume ndani ya vyama, mila , desturi na imani potofu dhidi ya wanawake na uongozi, ubutu wa katiba za vyama kuhusu masula ya kijinsia, upole na unyonge wao, kutokujiamini au hakuna upendo ndani ya vyama hivyo vya kisiasa kwa wanawake?
Ni kwanini hali iko hivyo?π
Mungu Ibariki Tanzania
Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa?