GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Meneja wa Uwanja anatafutiwa sababu aondolewe na awekwe anayetakiwa na BMT Mpya
2. Ushirikina / Kutumia muda huo Kupuliza Dawa ( Sumu ) katika Vyumba vya Timu Pinzani ili iwalevye na wakirejea Uwanjani wawe Laini na Wachovu wapigwe Nyingi.
3. Ni hujuma ya kutaka Kuwachonganisha Mawaziri wa Nishant Makamba na Chana wa Michezo ili waonekane hawafai na Watumbuliwe na Mama ( Mheshimiwa Rais )
4. Majaribio ya Mpango wa Ugaidi kwa Siku za baadae kutoka kwa Maadui ambao huwepo Uwanjani wakiwa na Lengo la Kuona Umakini wetu upoje na Wakilipua Athari itakuwa na Ukubwa gani.
Wakati mkifikiria Kuchagua Jibu sahihi la kunipa naomba GENTAMYCINE nichukue fursa hii Kumshauri Meneja wa Uwanja wa Mkapa Mwenyewe tu aachie Ngazi leo au Kesho na isizidi hadi Siku ya Jumatano kwa kile Kiitwacho Collective Accountability kwani kuna HATARI naiona mbeleni na haitokuwa vyema Kwake kama ikimkutia akiwa bado Meneja wa Mkapa Stadium.
Ukiona nakushauri jua ninakupenda.