Unadhani video ipi bora ya DIAMOND PLATNUMZ aliyo-shoot tofauti na GODFATHER PRODUCTION?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Habarini wadau"!!

Unadhani video ipi bora za nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ alizotoa tofauti na kampuni ya GODFATHER PRODUCTION ya S.A?
Kwangu naona ya Wimbo wa moyo wangu video iliyotengezwa na ADAMU JUMA.
 
Bado- Justin Cumpos
 
NUMBER ONE NA OGOPA VIDEO HII NDO IMEMFANYA AWE WA KIMATAIFA
 
Nataka kulewa
Ni miungoni mwa nyimbo nzuri za diamond ambazo hata ikipigwa mwaka 2050 utakaa na kuiangalia maana ameitendea haki nyimbo audio na video...
 
Bado- Justin Cumpos
Nope justin hajashoot bado ni nick ndo alioshoot iyo video jamaa uwa andiki jina wala production yke ndo alioshoota ibaki story, love boat, make me sing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…