Unadhani we ni tajiri namba ngapi hapa Tanzania?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongeraaa tajiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Shukrani sana .. na magu akiondoka vyuma vikalegea ntaanza kutumia dolla 4 kwa siku hapo nitakuwa tajiri wa milioni 2.5
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbaka katika ao million 50 zaidi ya million 20 ni tegemezi (wazee watoto,walemavu,wanawake,wasio na ajira vijana)
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kumbaka katika ao million 50 zaidi ya million 20 ni tegemezi (wazee watoto,walemavu,wanawake,wasio na ajira vijana)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hio buku 5 kwa siku ni hela ya kuspend tu kwa chakula lakini nikiweka networth yangu nnaweza kuwa tajiri wa mil 1.8 hapo nakuwa nimewazidi watu mil 48.8..

Hapo sijajitahidi mkuu??
 
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mahesabu ya akili sana haya
 
Tanzania ina zaidi ya watu million hamisin mi Kati ya Hao nadhan kwa sasa mi ni tajiri namba 11,366378.

Je we ni tajiri namba ngapi?
45000000 kama kuna mwenzangu aje
 
Mimi nitajiri namba 6 kwa mujibu wa takwimu nilizopokea juzi kwa watendaji wangu wangu wa kazi.

[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…