detective mfaume
Member
- Dec 23, 2016
- 31
- 69
Habari wanajukwaa?
Natumai mko salama na buheri wa afya. Leo nataka tujifunze kitu kwenye biashara.
Mabosi wengi huibiwa na wafanyakazi bila kujua, na wasijue nini chakufanya. Kazi inakua nikubadili wafanyakazi kila baada ya miezi na tukio?
Tunahifadhi taarifa za bishara kwa makaratasi. Muda mwingine tunajisahau au wafanyakazi wanatuzidi ujanja.
Umeshawahi kujiuliza kuhusu mifumo ya udhibiti wa bishara? yanu kila kitu wa compyuta na simu. Kama vile wanavyofanya supermarket au maduka makubwa. Wengi tukionaga vile tunajua ni mpaka tuwe na biashara ya mabilioni ndo tutumie ile mifumo. Lakini lahasha.
Twende na makala hii nikuelimishe[emoji1484][emoji1484][emoji1484]
Utangulizi
Imekua ni kiu ya muda mrefu kwa wafanya biashara wengi kutaka kudhibiti mienendo ya ukuaji wa biashara zao. Kama ulivyo msemo wa muda mrefu unaosema mali bila daftari huisha bila habari wafanya biashara hasa wale wakati na wajuu, wamekua wakitumia maandishi kuhifadhi taarifa za maduka na biashara zao.
Lakini kwasasa tupo katika miaka ya digitali na ushindani ambayo imefanya bishara kuongezeka huku wamiliki nao wakitaka kumiliki biashara zaidi. Hii imeleta ukakasi katika kudhibiti wa wafanya kazi na taarifa za biashara kwa mifumo yakizamani ya madaftari.
Baadhi ya wafanya biashara wakubwa walishalijundua hili na kuanza kutumia mifumo yakidigitali ya udhibiti wabishara kwa kutumia kompyuta. Siri hii haipaswi kuishia kwa baadhi tu ya wafanya biashara bali inapaswa kutawala kwa wafanya biashara wakubwa, wakati na wadogo.
Leo nataka nikuchambulie mfumo mahiri na rahisi kutumia “eDUKA”
Yapo maswali machache yakujiuliza kama mfanya biashara unaehitaji kukuza biashara yako;
(a) Nitumie mfumo gani kudhibiti biashara yangu?
(b) Nitawezaje kupata taarifa zote za biashara yangu hata nikiwa nimesafiri au mbali na biashara?
(c) Nitawezaje kujua kila kinachoendelea dukani mwangu kirahisi?
(d) Nitawezaje kuwadhibiti wafanyakazi wangu, wafanye kazi kwa ufanisi na wasifanye udanganyifu wa aina yoyote?
(e) Ni mfumo gani ni rahisi kutumia na nitakaoweza kuupata kwa gharama nafuu?
(f) Mimi sio mtaalamu wa simu na compyuta, je ni mfumo upi nitaweza kuulewa kwa haraka, na nikaanza kuutumia?
(g) Wafanyakazi wangu sio wataalamu wa kompyuta, ni njia gani rahisi na mfumo gani ambao wataweza kujifunza ndani ya dakika chache na wakaweza kuendelea na kazi?
Maswali haya na maswali mengineyo mengi, mfanya biashara yoyote anaweza kujiuliza. Yote yanajibiwa na uwepo wa eDUKA mfumo ambao ninaenda kukuchambulia katika makala hii ya elimu kwa wafanya biashara.
eDUKA ni nini?
eDUKA ni mfumo unaomrahisishia mmiliki au muuzaji kudhibiti taarifa na shughuli zote zinazoendelea dukani mwake.
Kwanini utumie eDUKA
eDUKA ni mfumo wa kisasa unaokidhi kiu ya wafanya biashara hasa wamiliki kudhibiti biashara zao popote pale walipo. Zifuatazo ni sababu chache zakukufanya utumie eDUKA.
• “Taarifa za duka lako, mikononi mwako”. Unaweza kutumia komputa au simu janja;
• Dhibiti mienendo ya biashara yako;
• Ondoa hofu ya uwekezaji;
• Simamia muuzaji/wauzaji wa biashara yako kiurahisi;
• Punguza gharama za usimamizi;
• Endelea na shughuli zako wakati ukiongeza kasi ya uwekezaji;
Ni mfanya biashara gani anaweza kutumia eDUKA
eDUKA inamfaa zaidi mfanya biashara anaejiejihusisha na mauzo ya bidhaa, jumla na rejareja. Miongoni ni wafuatao;
(a) Maduka ya dawa
(b) Maduka ya jumla
(c) Maduka ya rejareja
(d) Supermarket
(e) Maduka ya nguo
Kunani eDUKA?
Mmiliki Wa Duka
Mfumo wa eDuka unakuwezesha mmiliki wa duka kupata taarifa mbalimbali kuhusu mwenendo wa duka lako na kudhibiti shughuli za wafanyakazi pamoja na mauzo. Utaweza kuangalia ripoti kama za manunuzi, mauzo, na faida kwa kipindi utakachohitaji. Hii itakusaidia kujua hali ya ukuaji wa biashara na kukuwezesha kuiboresha na kuongeza uwekezaji. Yote yanawezekana kwa simu janja au kompyuta popote pale alipo. Utapokea ujumbe mfupi kwa njia ya email kukupa taarifa ya mauzo ya siku.
Muuzaji Dukani (Na Mtandao)
Kwa mtandao au data muuzaji wa duka anaweza kufanya mauzo na kuhifadhi taarifa za mauzo matumizi, wadai pamoja na wadaiwa. Pia muuzaji anaweza kufanya mauzo ya bidhaa kwa njia ya Barcode
Muuzaji Dukani (Bila Mtandao)
Unaweza kufanya mauzo na kuhifadhi taarifa za mauzo, matumizi, wadai na wadaiwa bila kua na mtandao. Hii ni Habari njema kwa wale wasioweza kumudu kua na mtandao kwa muda wote. eDuka imetengenezwa kwa lengo la kurahisisha uhifadhi wa taarifa za biashara kwa mmiliki na muuzaji wa duka kidigitali ili kukuza biashara bila changamoto.
Vipengele Muhimu Kwenye Mfumo
Ripoti Mbalinbali
Ukiwa na eDuka unaweza kutengeneza na kuangalia ripoti za aina mbalimbali zinazoweza kukusaidia kuona maendeleo ya biashara yako. Utaweza kutazama ripoti za mauzo, manunuzi, matumizi, na faida.
Maduka Yote Pamoja
Kuwa na akaunti moja pekee kutakuwezesha kudhibiti maduka yako yote. Mfumo unakuwezesha kuweka duka zaidi ya moja na kudhibiti taarifa na wafanyakazi wakila duka kwa ufanisi wa hali ya juu.
Rahisi Kutumia
Baada ya kujisajili mtu yeyote anaweza kutumia mfumo wa eDuka kirahisi bila maelekezo ya ziada au kwa kujiongoza kwa kupakua na kutumia muongozo uliopo katika tovuti yetu. Unaweza pia kuuliza kwakuwasiliana na wataalamu wetu wanaopatikana muda wote.
Ni Salama
Unapokuwa na eDuka ondoa shaka juu ya usalama wa taarifa zako. Ni mfumo salama unaohifadhi taarifa kiusalama na kwa usiri wa hali ya juu.
Uhakika
Ni mfumo imara na wa uhakika unaoweza kuutumia bila shida yoyote wakati wowote na popote pale utakapokuwepo. Kwa simu janja au kompyuta utapata taarifa za kila siku za maduka yako. Wataalamu wetu wanapatikana muda wote na wanaweza kukusaidia haraka pale unapohitaji msaada.
Tunajali Usiri
Mfumo umetengenezwa katika namna ya kuweka taarifa zote za duka lako siri na muuzaji ataona bidhaa na bai ya kuuzia tu. Taarifa zote zinabaki siri kwa mmiliki.
Wadai Na Wadaiwa
Mfumo unakuwezesha kuwarekodi watu wote wanaokudai kibiashara na wateja wako unawadai pamoja na wadau wako mnaouziana kwa mkopo
Uhasibu na Mahesabu ya Wakala
Mfumo umetengenezwa kueza kufanya mahesabu ya kiuhasibu kwa kuandaa taarifa fupi za mwenendo wa biashara (Assets & Liabilities). Pia mfumo unakuwezesha kufanya mahesabu ya biashara yako