stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Haya katika siku za karibuni hizi zimekuja kwa kasi. karibu mwenye elimu atupe ujuzi air bnb n kitu gani karib
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpka vya kupika atavikuta?Kwa wasiojua Ni aina ya Uwekezaji kama gest house, ila inakuwa katika mfumo wa apartment hapa mteja atakuta Kila kitu, full furnished, Jiko, vyombo, blender, washing machines n.k ana uhuru wa kupika nk
Kila kitu .. anatakiwa kulipa per/day .. ni hela ndefuMpka vya kupika atavikuta?
Iko songea msamala, kwa mwezi ni 800k, pale wanapanga wazungu, au wafanyakazi was serikali km engineers, wajeda, etc.Kwa wasiojua Ni aina ya Uwekezaji kama gest house, ila inakuwa katika mfumo wa apartment hapa mteja atakuta Kila kitu, full furnished, Jiko, vyombo, blender, washing machines n.k ana uhuru wa kupika nk
Nina ndoto ya kuifanya hiyo biz, hata ya chumba na sebule tu.....ila full furnished......mteja and Yeye tu.Iko songea msamala, kwa mwezi ni 800k, pale wanapanga wazungu, au wafanyakazi was serikali km engineers, wajeda, etc.
Kila kitu kiko ndani, wee unaingia na nguo zako tyuu. Lol
Air bnb lengo lake ni kupangisha kuanzia siku Moja na kuendelea, na mfumo wa malipo yake hua ni per day, ila ukitaka kukaa hata mwaka kama mwenye nyumba akiwa Hana noma ni wewe tu, mbele watu wengi wanapangisha nyumba zao wanazoishi kabisa pindi wanapokua hawapo ili kuongeza kipatoIko songea msamala, kwa mwezi ni 800k, pale wanapanga wazungu, au wafanyakazi was serikali km engineers, wajeda, etc.
Kila kitu kiko ndani, wee unaingia na nguo zako tyuu. Lol
Hilo linawazisha 🤣🤣🤣🤣, mtu anaptea tv, ila ukaguzi muhimu siku ya kurudisha chumba na mlinzi pia muhimu.Air bnb lengo lake ni kupangisha kuanzia siku Moja na kuendelea, na mfumo wa malipo yake hua ni per day, ila ukitaka kukaa hata mwaka kama mwenye nyumba akiwa Hana noma ni wewe tu, mbele watu wengi wanapangisha nyumba zao wanazoishi kabisa pindi wanapokua hawapo ili kuongeza kipato
Hizi unazosema wewe ni full furnished apartments zipo kabla hata Airbnb haijaanza ila zipo sehemu za kishua tu, uswahilini umpe mtu na Kila kitu hakawii kuita kirikuu akalala navyo mbele
Watu wa Makka pia hugeuza nyumba zao air bnb wakati wa hija, wanarudi mashambani huko nyumba wanakodishaAir bnb lengo lake ni kupangisha kuanzia siku Moja na kuendelea, na mfumo wa malipo yake hua ni per day, ila ukitaka kukaa hata mwaka kama mwenye nyumba akiwa Hana noma ni wewe tu, mbele watu wengi wanapangisha nyumba zao wanazoishi kabisa pindi wanapokua hawapo ili kuongeza kipato
Hizi unazosema wewe ni full furnished apartments zipo kabla hata Airbnb haijaanza ila zipo sehemu za kishua tu, uswahilini umpe mtu na Kila kitu hakawii kuita kirikuu akalala navyo mbele
sasa kwanini warudi mashambani inakuwa kuhiji wamechoka?Watu wa Makka pia hugeuza nyumba zao air bnb wakati wa hija, wanarudi mashambani huko nyumba wanakodisha
Mahujaji huwa wanafikia hoteliniWatu wa Makka pia hugeuza nyumba zao air bnb wakati wa hija, wanarudi mashambani huko nyumba wanakodisha