Wakuu baada ya kudumu na HARRIER kwa muda nimepatwa na hamu ya kubadilisha gari. Nilitamani ALPHARD, XTRAIR au DUALIS.
Kuna jamaa yangu kanishauri kwamba huko nikama kurudi hatua moja nyuma. Anasema kama nimeamua kubadilisha gari basi ni upgrade nichukue LANDROVER FREELANDER 2.
Naombeni muongozo kuhusu gari hili kwa hali zetu za wasakatonge linatufaa?. How about price, mafuta, spare na uimara wake kwa barabara za bongo.
Ye anasema eti ni around km 25-28 mpaka linafika mikononi pamoja na ushuru, akasema ni wastani wa lita moja km9.
Naombeni maoni serious mana natakiwa kuagiza gari ndani ya mwezi huu.
Natanguliza samahani kwa usumbufu.