Maneno ya Kiswahili, "roho" na "moyo" hutamkwa mara kwa mara katika maisha ya Mswahili. Baadhi ya utumizi wa maneno haya ni "ana roho ya paka", "ana roho ngumu" "ana roho ya korosho" n.k., halikadhalika neno moyo hupatikana katika misemo kama vile "nilimpokea kwa moyo mweupe", "ana moyo mgumu" n.k.
Naomba misemo ya aina hiyo yenye kuhusisha maneno hayo, yaani roho na moyo, kisha ningependa kujua maana rahisi ya maneno hayo na tofauti ya maneno hayo. Andika chochote unachojua kuhusu maneno hayo.
Nawasilisha.
Roho ni kitu kisichoonekena ambacho hufikiriwa kuwa ni sehemu ya mwili wa kiumbe ambayo hukiwezesha kuwa na uhai.Maneno ya Kiswahili, "roho" na "moyo" hutamkwa mara kwa mara katika maisha ya Mswahili. Baadhi ya utumizi wa maneno haya ni "ana roho ya paka", "ana roho ngumu" "ana roho ya korosho" n.k., halikadhalika neno moyo hupatikana katika misemo kama vile "nilimpokea kwa moyo mweupe", "ana moyo mgumu" n.k.
Naomba misemo ya aina hiyo yenye kuhusisha maneno hayo, yaani roho na moyo, kisha ningependa kujua maana rahisi ya maneno hayo na tofauti ya maneno hayo. Andika chochote unachojua kuhusu maneno hayo
Nawasilisha.
Na mtu akisema roho inauma ana maanisha nini?
sasa inakuwaje moyo mweupe wakati unasukuma damu ambayo nyekundu
Nakupenda kutoka moyoni
sasa inakuwaje moyo mweupe wakati unasukuma damu ambayo nyekundu