Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
Yaani kuna jambo ulielewi .baraba ya UDART gmboto to kariakoo mkopo
75%sgr mikopo
udart bunju to mwenge mkopo
vituo vya afya 214 mikopo
20% ya mikopo vyuo vikuu mikopo
bandari. imepewa mwarabu
,Uwanja wa ndege wa KIA umebnafsishwa.
ajira zilizotengenezwa serikalini kwa miaka 3
wastani wa ajira 10,000 nchi nzima
ruzuku ya ccm kwa mwaka billion 13
upo sahihi mfano japan ina deni kubwa mno ila 90% ya vijana wote wana ajira rasmiYaani kuna jambo ulielewi .
Hakuna serikali ambayo haikopi ,hata US government inakopa sema inakopa kwa mfumo wa treasury bonds . inamkopoa wa zaidi ya pato la taifa la marekani mostly 20% ya deni ni japan na china na nchi zingine .
Nchi itapigwa mnada kama ndugai alivyosema.baraba ya UDART gmboto to kariakoo mkopo
75%sgr mikopo
udart bunju to mwenge mkopo
vituo vya afya 214 mikopo
20% ya mikopo vyuo vikuu mikopo
bandari. imepewa mwarabu
,Uwanja wa ndege wa KIA umebnafsishwa.
ajira zilizotengenezwa serikalini kwa miaka 3
wastani wa ajira 10,000 nchi nzima
ruzuku ya ccm kwa mwaka billion 13
Acha chuki budaaa,apewe maua yake japo kwa 40%.
Nimefurahi sana jinsi katufumba mdomo kumalizia miradi ya JPM ambayo tulikua tunapigia kelele na kumkebei kua haezi kuimalizia
Kwani baba yako anapokopa kwa riba na analipa kidogo kidogo ili qjenge nyumba makazi ya kudumu nyie watoto wake muachane na kupanga anakuwa ajafanya maendelea?baraba ya UDART gmboto to kariakoo mkopo
75%sgr mikopo
udart bunju to mwenge mkopo
vituo vya afya 214 mikopo
20% ya mikopo vyuo vikuu mikopo
bandari. imepewa mwarabu
,Uwanja wa ndege wa KIA umebnafsishwa.
ajira zilizotengenezwa serikalini kwa miaka 3
wastani wa ajira 10,000 nchi nzima
ruzuku ya ccm kwa mwaka billion 13
Usijilinganishe na USA hata siku moja..., sababu hata ikipiga deficit ya kufa mtu ni wewe na dunia nzima ndio wanaomfadhili...Yaani kuna jambo ulielewi .
Hakuna serikali ambayo haikopi ,hata US government inakopa sema inakopa kwa mfumo wa treasury bonds . inamkopoa wa zaidi ya pato la taifa la marekani mostly 20% ya deni ni japan na china na nchi zingine .