Unaendesha gari Lina abiria 20, kituo cha kwanza wakashuka abiria 10, kituo cha pili wakashuka abiria watano. Nitajie umri wa Dereva

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
787
Reaction score
1,394
Naomba jibu ukiweza nitakupa like kama zote
 
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250811-201722.png
    1.5 MB · Views: 30
Kwakuwa umemtaja dereva kwa mfano wa msomaji(awazie yeye ndio dereva) basi jibu ni umri wa huyo msomaji.

Umri wa dereva ni miaka 28 . Mimi huyo
 
Hata dereva mwenyewe hajui umri wake
 
Umri wa dereva ni miaka 18+
Hii ni sheria ya udereva
 
Umri wa dereva ni mara 4 ya abilia walio baki ukigawanya kwa 2 utapata umri wake
 
Kwani sis ni wazazi wake anajua yeye na mama ake mengn hayatuhusu🫤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…