Unafahamu kuwa mfereji wa Suez ulitengenezwa?

Ornate

Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
26
Reaction score
33
Hapo zamani, wafanyabiashara wengi walitokea na kutafuta masoko na fursa za kibiashara nje ya mipaka ya nchi yao. Moja kati ya safari ndefu ilikuwa ni ile ya kulizunguka bara la Africa ili kuweza kuunganisha masoko ya ulaya na bara la Asia.

Tangu kupatikana kwa meli za kisasa idadi ya meli kati ya ulaya na Asia iliongezeka sana katika Karne ya 19. Zote zilipaswa kuzunguka Afrika kote au kuondoa mizigo na abiria upande wa Mediteranea na kuwasafirisha hadi Suez. Hivyo ilikuwa jitihada ya kimataifa yaliyoleta mfereji wa kisasa.

Jambo hilo lilifanya watu wenye mawazo mapana kuanza kufikiri ni jinsi gani wanaweza kulitatua hili na baada ya muda wazo la kutengeneza mfereji wa suez likapatikana.

Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia huko kuanzia Karne ya 14 KK hadi wakati wa waarabu katika karne ya 8 baada ya Kristo. Lakini yote haikudumu kwa sababu ya matatizo ya kuondoa mchanga mara kwa mara kwa mitambo iliyopatikana zamani. Tena katika mifereji ya zamani ilikuwa serikali ya Misri tu iliyotaka kurahisisha usafiri na ubebaji wa mizigo.

Mwaka 1854 hadi 1856 mwanadiplomasia wa kifaransa aitwaye ferdnand aliweza kupata fursa ya viongozi mbalimbali wakiwemo wale wa OTTOMAN EMPIRE ambayo ilikuwa na ushawishi na mamlaka katika eneo hilo na baada ya kuruhusiwa Ferdnand akatengeneza kamati na mwisho wazo la kutengeneza mfereji likaafikiwa huku akitakiwa kuunda kampuni itakayosimamia ujenzi huo na ilijulikana kwa jina la 'suez canal company.'

Huu ni mfereji uliotengenezwa na binadamu unaounganisha Bahari ya Mediterania, Bahari ya Shamu na bahari ya hindi ulijengwa na kampuni ya kifaransana ulifunguliwa rasmi huko Misri mwaka 1869 na unasaidia meli mbalimbali kufika bara la ulaya mpaka bara la Asia bila kulizunguka bara la Africa kama ilivyokuwa hapo awali. Mfereji huo ambao ulijengwa kwa miaka 10 kuanzia mwaka 1859, unatumika kwa kilimo cha umwagiliaji na usafirishaji, Huko upande wa magharibi wa rasi ya sinai na urefu wake ni kilometa 163 huku ukiwa na upana ni kuanzia mita 300. Mfereji huu Unaanza mjini Port Said upande wa Mediteranea na kuishia mjini Suez upande wa Bahari ya Shamu

Ujenzi wa mferejihuo ulifanywa na wakulima wadogo wadogo na watumwa kutoka sehemu mbalimbali ambao walitumia zana za mikono. Inasemekana idadi ya wafanyakazi waliohusika kutengeneza mfereji huo inakaribia kuwa milioni moja na lakitano, kati yao inadaiwa pia maelfu ya wafanyakazi walifariki kutokana n magonjwa mbalimbali ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.

Kufikia tarehe 17 novemba mwaka 1869, ujenzi wa mfereji wa suez ulikamilika na taarifa za siri zinadai kuwa usiku mmoja kabla ya kufunguliwa kwa mfereji huo, meli ya muingereza ilipita kwa Siri katika mfereji huo hivyo ni meli ya kwanza kupita katika mfereji huo.

Mfereji huo, ambao unatenganisha Afrika, mashariki ya kati na Asia,ni moja ya njia ya biashara iliyo na shughuli nyingi duniani, na asilimia 12 ya biashara inayopitia hapo.Ambapo meli 160 zinapita njia hiyo au kukamilisha safari.

Inasemekana pia mferji wa Suez ni short cut ya kufika Ulaya na Asia na pia asilimia 10 ya biashara dunian hufanywa kupitia mfereji wa Suez.

Mfereji wa Suez unafupisha umbali wa safari ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya Rotterdam (bandari kubwa ya Ulaya) na Dubai ni takriban kilomita 20,900 na siku 24 kwa njia ya kuzunguka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee. Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.

Sehemu kubwa ya biashara ya dunia kwa meli ilipita kwenye mfereji na bandari ya Suez na inasadikika kuwa asilimia 10 ya biashara duniani zinafanywa kupitia mfereji huo.

Mfereji ulikuwa mali ya kampuni ya mfereji wa Suez, na hisa zake zilikuwa mikononi mwa serikali za ufaransa na uingereza baada ya Misri kuingia katika mkataba na uingereza iliyompa uingereza usimamizi na utawala juu ya mfereji wa Suez

Lakini kufikia mwaka 1956 serikali ya Misri chini ya rais gamal abdel Nasser ilitaifisha mfereji na tendo hilo likasababisha vita ya Suez ya mwaka 1956 ambako Uingereza, Ufaransa na israel zililazimishwa na mataifa makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.

Katika mfereji wa suez kuna suez canal brige,ni daraja lililobuniwa na kujengwa kwa msaada wa serikali ya Japan huku Mhandisi akiwa Kampuni ya penta ocean Construction.

Serikali ya Japan ilitoa kiasi cha asilimia 60 ya gharama za ujenzi hii ikiwa ni kiasi cha Yen bilioni 13.5, hii ilikubaliwa wakati Raisi Mubarak alipoitembelea Japan mwezi Machi mwaka 1995, kama sehemu ya kuendeleza mkono nchi wa sinai. Misri nayo ilichangia kiasi cha asilimia 40 yaani Yen bilioni 9, zilizobaki. Na daraja likafunguliwa mwezi Oktoba mwaka 2001.

Daraja hili lina nguzo ndefu zinazozishikia zenye muundo wa Nguzo za Farao. Pia daraja hili lina kiasi cha urefu wa mita 68,Juu ya mstari wa maji. Au (Suez max) juu ya meli zinazoweza kupita katika Mfreji huo.

Daraja la Suez ni moja kati ya njia muhimu za kuleta maendeleo katika eneo la Mfereji wa Suez lakini pia na maeneo ya jirani kama vilee ahmed hamdi iliyopo katika Mfereji wa Suez, iliyomalizika mwaka 1981 na El Ferdan daraja la reli.

Licha ya kuwana umuhimu mkubwa duniani, mfereji wa suez umekumbwa na matukio makubwa mawili ambayo ni kukwama kwa meli ya Japan mwaka 2017 kutokana na matatizo ya kiufundi na pia kukwama kwa meli ijulikanayo kama The ever given iliyosababishwa na upepo mkali kuipigia meli hiyo mwaka 2021
 
Sijui kama watasoma hii

Ila mkuu weka na citation kidogo

Jamani uzi mzima umejaaa inasemekana inasemekana

Nani kasema?? Wapi??

Otherwise ni article nzuri
 
Uzi mzuri sana,ngoja tuweke na kapicha kusapoti kazi nzuri ulioifanya...
Suez.gif
 
Ahsante kwa kutupa maarifa. Lkn kulizunguka bara la Africa inaongezeka km 8,000 tu, mbona km chache hizo?
Kutokea ulaya kwenda Asia au Asia kwenda Ulaya kupitia mfereji wa suezi ni kilometa 8000, tofauti na utakavyozunguka bara la Afrika🙏
 
Sijui kama watasoma hii

Ila mkuu weka na citation kidogo

Jamani uzi mzima umejaaa inasemekana inasemekana

Nani kasema?? Wapi??

Otherwise ni article nzuri
Asante kwa ushauri
 
Kutokea ulaya kwenda Asia au Asia kwenda Ulaya kupitia mfereji wa suezi ni kilometa 8000, tofauti na utakavyozunguka bara la Afrika[emoji120]

Hapana,
Nadhani umepingana na ulichokiandika,
Kwenye bandiko Original inaonyesha the difference is 8,000 Kilometres, Asia to Europe (London) is 12,000 Kilometres while kulizunguka bara letu pendwa la Africa ni 20,000 ~ Kilometres.

I stand to be corrected.
 
Hapo zamani, wafanyabiashara wengi walitokea na kutafuta masoko na fursa za kibiashara nje ya mipaka ya nchi yao. Moja kati ya safari ndefu ilikuwa ni ile ya kulizunguka bara la Africa ili kuweza kuunganisha masoko ya ulaya na bara la Asia.
Tangu kupatikana kwa meli za kisasa idadi ya meli kati ya ulaya na Asia iliongezeka sana katika Karne ya 19. Zote zilipaswa kuzunguka Afrika kote au kuondoa mizigo na abiria upande wa Mediteranea na kuwasafirisha hadi Suez. Hivyo ilikuwa jitihada ya kimataifa yaliyoleta mfereji wa kisasa.

Jambo hilo lilifanya watu wenye mawazo mapana kuanza kufikiri ni jinsi gani wanaweza kulitatua hili na baada ya muda wazo la kutengeneza mfereji wa suez likapatikana.

Kuna mifereji mbalimbali iliyotangulia huko kuanzia Karne ya 14 KK hadi wakati wa waarabu katika karne ya 8 baada ya Kristo. Lakini yote haikudumu kwa sababu ya matatizo ya kuondoa mchanga mara kwa mara kwa mitambo iliyopatikana zamani. Tena katika mifereji ya zamani ilikuwa serikali ya Misri tu iliyotaka kurahisisha usafiri na ubebaji wa mizigo.

Mwaka 1854 hadi 1856 mwanadiplomasia wa kifaransa aitwaye ferdnand aliweza kupata fursa ya viongozi mbalimbali wakiwemo wale wa OTTOMAN EMPIRE ambayo ilikuwa na ushawishi na mamlaka katika eneo hilo na baada ya kuruhusiwa Ferdnand akatengeneza kamati na mwisho wazo la kutengeneza mfereji likaafikiwa huku akitakiwa kuunda kampuni itakayosimamia ujenzi huo na ilijulikana kwa jina la 'suez canal company.'

Huu ni mfereji uliotengenezwa na binadamu unaounganisha Bahari ya Mediterania, Bahari ya Shamu na bahari ya hindi ulijengwa na kampuni ya kifaransana ulifunguliwa rasmi huko Misri mwaka 1869 na unasaidia meli mbalimbali kufika bara la ulaya mpaka bara la Asia bila kulizunguka bara la Africa kama ilivyokuwa hapo awali. Mfereji huo ambao ulijengwa kwa miaka 10 kuanzia mwaka 1859, unatumika kwa kilimo cha umwagiliaji na usafirishaji, Huko upande wa magharibi wa rasi ya sinai na urefu wake ni kilometa 163 huku ukiwa na upana ni kuanzia mita 300. Mfereji huu Unaanza mjini Port Said upande wa Mediteranea na kuishia mjini Suez upande wa Bahari ya Shamu

Ujenzi wa mferejihuo ulifanywa na wakulima wadogo wadogo na watumwa kutoka sehemu mbalimbali ambao walitumia zana za mikono. Inasemekana idadi ya wafanyakazi waliohusika kutengeneza mfereji huo inakaribia kuwa milioni moja na lakitano, kati yao inadaiwa pia maelfu ya wafanyakazi walifariki kutokana n magonjwa mbalimbali ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.

Kufikia tarehe 17 novemba mwaka 1869, ujenzi wa mfereji wa suez ulikamilika na taarifa za siri zinadai kuwa usiku mmoja kabla ya kufunguliwa kwa mfereji huo, meli ya muingereza ilipita kwa Siri katika mfereji huo hivyo ni meli ya kwanza kupita katika mfereji huo.

Mfereji huo, ambao unatenganisha Afrika, mashariki ya kati na Asia,ni moja ya njia ya biashara iliyo na shughuli nyingi duniani, na asilimia 12 ya biashara inayopitia hapo.Ambapo meli 160 zinapita njia hiyo au kukamilisha safari.

Inasemekana pia mferji wa Suez ni short cut ya kufika Ulaya na Asia na pia asilimia 10 ya biashara dunian hufanywa kupitia mfereji wa Suez.

Mfereji wa Suez unafupisha umbali wa safari ya meli kati ya Ulaya na Asia kwa kilomita 8,000 hivi; kwa mfano safari baina ya Rotterdam (bandari kubwa ya Ulaya) na Dubai ni takriban kilomita 20,900 na siku 24 kwa njia ya kuzunguka Afrika; kupitia Mfereji wa Suez ni kilomita 12,000 na siku 12 pekee. Mfereji umeharakisha na kurahisisha usafiri kati ya Ulaya, Asia na Afrika mashariki. Zipatao meli 15,000 zinapita kwenye mfereji kila mwaka.

Sehemu kubwa ya biashara ya dunia kwa meli ilipita kwenye mfereji na bandari ya Suez na inasadikika kuwa asilimia 10 ya biashara duniani zinafanywa kupitia mfereji huo.

Mfereji ulikuwa mali ya kampuni ya mfereji wa Suez, na hisa zake zilikuwa mikononi mwa serikali za ufaransa na uingereza baada ya Misri kuingia katika mkataba na uingereza iliyompa uingereza usimamizi na utawala juu ya mfereji wa Suez

Lakini kufikia mwaka 1956 serikali ya Misri chini ya rais gamal abdel Nasser ilitaifisha mfereji na tendo hilo likasababisha vita ya Suez ya mwaka 1956 ambako Uingereza, Ufaransa na israel zililazimishwa na mataifa makubwa kujiondoa katika Misri baada ya uvamizi wao.

Katika mfereji wa suez kuna suez canal brige,ni daraja lililobuniwa na kujengwa kwa msaada wa serikali ya Japan huku Mhandisi akiwa Kampuni ya penta ocean Construction.

Serikali ya Japan ilitoa kiasi cha asilimia 60 ya gharama za ujenzi hii ikiwa ni kiasi cha Yen bilioni 13.5, hii ilikubaliwa wakati Raisi Mubarak alipoitembelea Japan mwezi Machi mwaka 1995, kama sehemu ya kuendeleza mkono nchi wa sinai. Misri nayo ilichangia kiasi cha asilimia 40 yaani Yen bilioni 9, zilizobaki. Na daraja likafunguliwa mwezi Oktoba mwaka 2001.

Daraja hili lina nguzo ndefu zinazozishikia zenye muundo wa Nguzo za Farao. Pia daraja hili lina kiasi cha urefu wa mita 68,Juu ya mstari wa maji. Au (Suez max) juu ya meli zinazoweza kupita katika Mfreji huo.

Daraja la Suez ni moja kati ya njia muhimu za kuleta maendeleo katika eneo la Mfereji wa Suez lakini pia na maeneo ya jirani kama vilee ahmed hamdi iliyopo katika Mfereji wa Suez, iliyomalizika mwaka 1981 na El Ferdan daraja la reli.

Licha ya kuwana umuhimu mkubwa duniani, mfereji wa suez umekumbwa na matukio makubwa mawili ambayo ni kukwama kwa meli ya Japan mwaka 2017 kutokana na matatizo ya kiufundi na pia kukwama kwa meli ijulikanayo kama The ever given iliyosababishwa na upepo mkali kuipigia meli hiyo mwaka 2021
Fersnand Le Seps
 
Serikali ya Japan ilitoa kiasi cha asilimia 60 ya gharama za ujenzi hii ikiwa ni kiasi cha Yen bilioni 13.5, hii ilikubaliwa wakati Raisi
Hawa wajapan wanafaidikaje kutoa pesa ndefu kiasi hicho ama kuna makubaliano fulani
 
Samahani hivi kuwa na mbuga au suez canal kipi bora?
 
Hii ndiyo ilikuwa idea ya mgombea urais 2020. Mh. Hashimu Rungwe. Yeye alitka atengeneze mfereji kama huo kutokea hapa Dar es salaam kuelekea Dodoma
 
😅 Ingewezekana
Kwenda Sayari ya Mars inawezekana, ije iwe kuchukua maji kuyatoa Dar es saalam kuyapeleka Dodoma? Kazi ndogo sana, tatizo labda linaweza kuwa financial resourves za kufanya kazi hiyo
 
Back
Top Bottom