Unafahamu kwa nini pesa za kigeni zimepotea Tanzania wakati serikali yenyewe ni wabishi kukubali mabadiliko ya kiditali

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Serikali huku mkitafuta pesa za kigeni kwa nguvu kwa uwekezaji mpaka kufikia bandari.

Ila jambo linalochekesha ni yule mfunga kitambaa cha tanzania kama mwenye dhamana ya uchumi kutupeleka chaka.

Maisha yamebadilika jamani?

Leo hii naweza kuifadhi milioni 80 kwa mfumo wa sarafu aina USDT na nikafanya malipo duniani bila kupata usumbufu.

Wapo watanzania sasa wameshaamua kubadilika maana mnafatilia pesa zao na washikaji zenu TRA.

Yaani dunia yaya msipo badilika ndio maana wakenya walishatuona vilaza .mkitukanwa fateni wakenya wote wafungeni.
 
With this kind of administration system unapigia mbuzi gitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…