Unafahamu mini kuhusu network marketing


Unfortunately sina muda kubishana na ujinga wako. I'm used to ignorant people of ur type. Watakuja wengine kuendeleza mada.
 
Forever living Product na udanganyifu wa madawa yao ambayo hayasaidia ni mbwembwe tu kisa yametoka marekani
 
Unfortunately sina muda kubishana na ujinga wako. I'm used to ignorant people of ur type. Watakuja wengine kuendeleza mada.

Forever living Product na udanganyifu wa madawa yao ambayo hayasaidia ni mbwembwe tu kisa yametoka marekani
Mkuu Jilunga, asante kwa post yako. Hizi biashara zina ahadi hewa nyingi. Wanalipia kumbi kwenye maeneo ya ghali ili kuwapagawisha vijana wa chuo. Mtu anasimama mbele za watu anasema eti nilikuwa meneja wa tra nikaacha kazi, hii kazi mpya imenilipa sana sasa mimi ni bilionea. Ukimuuliza nikijiunga leo itanichukua mda gani nami kunufaika, anakwambia juhudi zako. Ukiwauliza wale followers wengine wana miaka mingapi kwenye hiyo makitu utakuta mtu ana miaka 5 ndo anapokea dola 100 kama mgao wake, ingawa yeye keshanunua vitu vya mamailioni. Watu wanaibiwa mchana kweupe...
 
wazee wa Forever Living Products, the way they make money is too easy to get involved with that kind of business, at first, utaelewa kila kitu cha kufanya, the problem is trying to convince other people you wish to work with.. Network Marketing inalipa tena sana tu ila tatizo nililoliona ni kwamba wengi wenye nia na walioona fursa katika hii biashara wanaangushwa na lack of support, na kwa jinsi wabongo tulivyo itakuchukua muda sana kutengeneza team. akizingua mmoja basi team nzima itaathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…