Unafahamu mti aina ya Pachira Aquatica/money tree?

emmarki

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
1,001
Reaction score
1,430
Katika mizunguko yangu nimekutana na mti unaozaa matunda amabao ndani yake ni kama karanga, katika kudodosa mtandaoni nikagundua unaitwa PACHIRA AQUATICA. Mti huu hufahamika zaidi kama mti unaoleta bahati au money tree.

Wenyeji huita karanga pori, nimeona wengine wakichanganya na kuuita macadamia nuts jambo ambalo siyo. Nina mbegu zake kwa ladha ni kama karanga. Kama unajua matumizi mengine ya huu mti tujuze

Mti wake huonekana hivi, lakini unakuwa mkubwa zaidi ukioteshwa mashambani


matunda yake ni makubwa tofauti na macadamia nuts.


mbegu zake (nuts) zina mistari
 

Attachments

  • FB_IMG_16717735269091619.jpg
    35.1 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…