JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Sheria za Hakimiliki hulinda wamiliki zaidi ya zinavyolinda maisha yao. Kwa Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya Mtunzi wa mwisho kufariki
Wakati kipindi cha Ulinzi wa Hakimiliki kimekwisha, muziki, kitabu, picha, au kazi nyingine yoyote ya ubunifu iko kwenye uwanja wa Umma
Hii inamaanisha hakuna mwenye Hakimiliki tena, na kila mtu yuko huru kuiga, kuitumia na kuibadilisha bila kuwa na ruhusa ya kuomba au kumlipa mmiliki
Upvote
1