J JamiiTalks JF Advocacy Team Joined Aug 7, 2018 Posts 685 Reaction score 1,124 May 19, 2021 #1 Sheria za Hakimiliki hulinda wamiliki zaidi ya zinavyolinda maisha yao. Kwa Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya Mtunzi wa mwisho kufariki Wakati kipindi cha Ulinzi wa Hakimiliki kimekwisha, muziki, kitabu, picha, au kazi nyingine yoyote ya ubunifu iko kwenye uwanja wa Umma Hii inamaanisha hakuna mwenye Hakimiliki tena, na kila mtu yuko huru kuiga, kuitumia na kuibadilisha bila kuwa na ruhusa ya kuomba au kumlipa mmiliki Upvote 1
Sheria za Hakimiliki hulinda wamiliki zaidi ya zinavyolinda maisha yao. Kwa Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya Mtunzi wa mwisho kufariki Wakati kipindi cha Ulinzi wa Hakimiliki kimekwisha, muziki, kitabu, picha, au kazi nyingine yoyote ya ubunifu iko kwenye uwanja wa Umma Hii inamaanisha hakuna mwenye Hakimiliki tena, na kila mtu yuko huru kuiga, kuitumia na kuibadilisha bila kuwa na ruhusa ya kuomba au kumlipa mmiliki
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 4,412 Reaction score 8,198 May 19, 2021 #2 Sawa! Nafikiri Tanzania sijui ni nani alifariki kati ya mwaka 1970-1971 ambae kwa sasa hivi haki miliki yake ya miaka 50 imeisha.. Wazee mtukumbushe.
Sawa! Nafikiri Tanzania sijui ni nani alifariki kati ya mwaka 1970-1971 ambae kwa sasa hivi haki miliki yake ya miaka 50 imeisha.. Wazee mtukumbushe.
Masokotz JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,713 Reaction score 6,121 May 19, 2021 #3 Times9 said: Sawa! Nafikiri Tanzania sijui ni nani alifariki kati ya mwaka 1970-1971 ambae kwa sasa hivi haki miliki yake ya miaka 50 imeisha.. Wazee mtukumbushe. Click to expand... Shaaban Robert,Marijani Rajabu?
Times9 said: Sawa! Nafikiri Tanzania sijui ni nani alifariki kati ya mwaka 1970-1971 ambae kwa sasa hivi haki miliki yake ya miaka 50 imeisha.. Wazee mtukumbushe. Click to expand... Shaaban Robert,Marijani Rajabu?