Unafahamu namna yakuzungumza na Mhe. Rais?

Unafahamu namna yakuzungumza na Mhe. Rais?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Watanzania mnaotaka kuzungumza na Mhe. Rais mnakaribushwa kujadiliana naye. Anasoma na kutafakari yale yenye tija kwa Taifa na atayafanyia kazi. Zumza naye kwa kuandika hoja yako hapa.

Uwezekano mkubwa ni kwamba atakujibu kwa vitendo siyo maandishi. Ukimwambia kuna watu wanapiga dili yeye atatuma vyombo vyake vikachukue hatua. Ukisema anahujumiwa watu watafuatilia.

Pls zungumza na Mhe. Rais hapa ukitumia lugha ya Kitanzania isiyotweza utu. Na kukaribisha.
 
Mh rais pole na majukumu naomba uyafanyie kazi yafuatayo.
1. Nani alimpiga lissu risasi?
2. Ben saa nane yuko wapi?
3. Kupotea watanzania!
 
Watanzania mnaotaka kuzungumza na Mhe. Rais mnakaribushwa kujadiliana naye. Anasoma na kutafakari yale yenye tija kwa Taifa na atayafanyia kazi. Zumza naye kwa kuandika hoja yako hapa.

Uwezekano mkubwa ni kwamba atakujibu kwa vitendo siyo maandishi. Ukimwambia kuna watu wanapiga dili yeye atatuma vyombo vyake vikachukue hatua. Ukisema anahujumiwa watu watafuatilia.

Pls zungumza na Mhe. Rais hapa ukitumia lugha ya Kitanzania isiyotweza utu. Na kukaribisha.
Kuzungumza na rais habari za "kuna watu wanapiga dili" ni kukubali kuwa mifumo ya kiserikali ya kufanyia kazi mambo haya iliyo chini ya rais huyo imeshindwa kazi na haiaminiki.

Rais mmoja atasikilizaje na kutatua matatizo ya watu zaidi ya milioni 65?

Kwa nini tunamuangalia sana huyo rais mmoja atatue matatizo badala ya kutengeneza hii mifumo ifanye kazi vizuri?

TAKUKURU ina matawi kila mkoa, kwa nini habari za watu kufanya upigaji zitatuliwe na rais?
 
Unaelewa maana ya mazungumzo? Mazungumzo ni pande mbili kubadilishana mawazo, sio mmoja anaongea mwingine anasikilizia na kutenda. Hiyo ni hotuba Sasa
 
Back
Top Bottom