Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuzungumza na rais habari za "kuna watu wanapiga dili" ni kukubali kuwa mifumo ya kiserikali ya kufanyia kazi mambo haya iliyo chini ya rais huyo imeshindwa kazi na haiaminiki.Watanzania mnaotaka kuzungumza na Mhe. Rais mnakaribushwa kujadiliana naye. Anasoma na kutafakari yale yenye tija kwa Taifa na atayafanyia kazi. Zumza naye kwa kuandika hoja yako hapa.
Uwezekano mkubwa ni kwamba atakujibu kwa vitendo siyo maandishi. Ukimwambia kuna watu wanapiga dili yeye atatuma vyombo vyake vikachukue hatua. Ukisema anahujumiwa watu watafuatilia.
Pls zungumza na Mhe. Rais hapa ukitumia lugha ya Kitanzania isiyotweza utu. Na kukaribisha.