Tanzania 🇹🇿 lugha ngapi? Kuna makabila kama Wachagga, wanaongea lugha tofauti
Mmarangu na Mmachame je?Si saana,Mmarangu na Old Moshi wanasikilizana 💯 tofauti ipo kwa baadhi ya matamshi lakini haiondoi masikilizano.
kuna lugha mia ngapi zilizo hai?South Africa,na Zambia pia wana lugha nyingi
Hazifiki mia mkuukuna lugha mia ngapi zilizo hai?