Unafahamu Nini kuhusu chumvi?

Unafahamu Nini kuhusu chumvi?

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Unafahamu Nini kuhusu chumvi ??

Je chumvi inasaidia nini Katika Maisha ya binaadamu ??

Ukiachana na matumz ya jikon

Wewe unafahamu Nini kuhusu chumvi ??
 
chumvi inamanufaa mengi zaidi lakini wafanyabiashara wako bize na sukari.
 
Nachojua mimi chumvi ni ionic compound iliyoundwa na chemical mbili ambazo ni Sodium pamoja na chloride, kikemia tunaiita Sodium Chloride ( NaCl ) ikiwa na ratio ya 1:1, ina molar mass ya 58.44 g/mol.
ni soluble in water, ammonia, ethanol, Glycerol, methanol, formmamide, propylene glycol, formic acid.
Melting point yake ni 801C, ikiwa na density ya 2.16g/cubic cm, boiling point ni 1465 C.
Sasa sijui nini wewe unauliza kuhusu chumvi?
 
Ni bonge la tiba za kiroho
Mzee mwenzangu, hebu nijuze vitu viwili hapa......

1. Dose najuaga ni kidogo tu kama kijiko Kimoja kikubwa kwa ndoo moja, ni Sawa?

2. Unaweza kuoga kama kawaida ukimaliza ndio ukajimwagia maji yaliyochanganywa chumvi huku 'unanuizia' utakayo, hii ni Sawa?

3. Ukishamaliza kujimwagia unaweza tumia taulo kama kawaida au ni vyema kuyaacha maji mailing?

4. Ukiwa unatumia kipindi hicho unaweza kunywa pombe?
 
Ya mawe au hii ya kawaida iliyosagwa
 
Back
Top Bottom