Unafanyaje kama unaongea na mtu lakini yupo busy na mambo haya?

Unafanyaje kama unaongea na mtu lakini yupo busy na mambo haya?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
● Anapekuapekua simu yake

● Amejichomeka visikiliza masikio (earphone) anasikiza mambo mengine

● Nayeye anaongea na mtu mwingine

● Anakuongelesha wakati hujamaliza kuongea (wewe unaongea na yeye anaongea mudab huohuo)

● Anaangalia upande mwingine kabisa
 
Back
Top Bottom