Ila hujatwambia ni kazi zipi.Assume unatangaza kazi zako
Nimefanyia wengi kwa uaminifu na wengine wamenizurumunmalipo lakini hawa wapya wanaokuja wengi wanauliza location uliwaambia uko sehemu flani wanasema haukizo vigezo vyao kwa sababu ya locationa wengine wanasema wameshatapeliwa hata kama ukiwa pa reference ya wateja uliowapa huduma wakiwa mkoa wao bado hauwaamini. na wengi wao ni makampuni so imekuwa mtu akija ninmpaka awe mwelewa. Otherwise wengine watataka kazi kwanza kisha walipie kulingana na nature ya kazi yangu ni lazima utume malipo ya awali Sasa wale ambao waliwahi kukumbana na dhulma baada ya kutoa kazi na pesa zao wanatianshaka pia kwako, hadi ujirisk utoe pesa Yako mfukoni umpatie huduma kisha alipie baada ya kumkabidhi anapotea piaIla hujatwambia ni kazi zipi.
Kumbuka wako wengi wafanyayo kazi kama yako, ukiitaja hio kazi, nao wengine pia watakuja kutoa ushauri nini wanafanya ili kuwafikia wateja wa mbali kupitia mtandao.
Neno langu kwako ni hili: Fanya kazi kiukamilifu kwa mteja mmoja wa kwanza utakaye mpata, awe wa mkoa wako au mkoa tofauti, huyu mteja mmoja ndio mlango wa kuwafikia wateja wengine, katika mkoa wako, mikoa jirani na hata nje ya nchi.
Mfano hai, Waweza kupitia hii thread yangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
View attachment 3123220
- Kupitia hiyo thread hakuna mtu ninaye mjua physically au yeye kunijua physically.
- Kupitia hiyo thread nahudumia watu wa mkoa wangu, mikoani na nchi jirani.
Je hadi hapo umejifunza nini?
Nakutakia kheri kwenye kazi yako.
Je kwanini hutaki kuweka wazi hiyo kazi yako, ili upewe ushauri stahiki nini cha kufanya?Otherwise wengine watataka kazi kwanza kisha walipie kulingana na nature ya kazi yangu ni lazima utume malipo ya awali Sasa wale ambao waliwahi kukumbana na dhulma baada ya kutoa kazi na pesa zao wanatianshaka pia kwako, hadi ujirisk utoe pesa Yako mfukoni umpatie huduma kisha alipie baada ya kumkabidhi anapotea pia
Je huoni kuwa unapunguza wigo wa kupata maarifa na ushauri wa kitaalam kutoka kwa wadau wengine wafanyao kazi kama yakoAssume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar.