aseee pole sana ila naamin saivi umeponaNiko poaa kicwa kinauma lakin
Mie naogea sabuni ya unga na dodoki la viroba.
Ndio naamka niko poa kiasiaseee pole sana ila naamin saivi umepona
Magadi yakuchimba au sabuni ya magadiššBora wewe mie natumia magadi kuogea
wew ni wa kishua? mbona uamke saa nnešNdio naamka niko poa kiasi
Mimi ni jobless babewew ni wa kishua? mbona uamke saa nneš
jobless gan unalala mpka saa nne?šMimi ni jobless babe
Love uš„°
Sasa nawahi kuamka niende wapšjobless gan unalala mpka saa nne?š
Ya kuchimba kabisa mamioMagadi yakuchimba au sabuni ya magadišš
Utachubuka mamioYa kuchimba kabisa mamio
hata kwa ndugu zako huko,,, wanasema mtembea bure si kama mkaa bureSasa nawahi kuamka niende wapš
Hao ndugu sina upo wap nijehata kwa ndugu zako huko,,, wanasema mtembea bure si kama mkaa bure
Mweee!! Hazichubukiš±Nashukuru mkuu hapa tayari nishachemsha maji yangu, dodok8 langu la KIROBA CHA UNGA, mswaki wangu wa mti, na sabuni yangu ya unga, nimedevelop leo naogea OMO..
Nikifika navuruga sabuni na maji napata povu la uhakika, nachovya dodoki kwenye povu, kisha naanza kujiparatua.
Hapo hujanikuta nazikosha MBUPU sasa, nakuwa makini sana na NYANYA MSHENZI š zangu, pamoja na š„..
1š¤£š¤£š¤£
Ila we ni kajinga jamaniš«¢Mm naoga mara tatu kwa siku,sitaki ninuke jasho kabis.Napiga pamba safi,najipulizia marash.Alafu naiingia kitaa kutafuta madem
Kimtekenye eneo husika sio?Uchafuuuš¤®
Na kwann utumie kopo
Tumie kibomba
maisha ya kijijini utayaweza?Hao ndugu sina upo wap nije
Hata upo uingereza funga safari njoooooooooooooooooooooooš„
Hazichubuki zina mng'ao wa silver š¤£, ukizingatia kila wiki napitisha kwanja na kuzipaka wese basi zinamereremeta šš¤£š¤£Mweee!! Hazichubukiš±
Ngozi inakakamaaš
Mom mi stakišKimtekenye eneo husika sio?
Upo wap chitohori šmaisha ya kijijini utayaweza?
Mimi bila picha siaminiš«¢Hazichubuki zina mng'ao wa silver š¤£, ukizingatia kila wiki napitisha kwanja na kuzipaka wese basi zinamereremeta šš¤£š¤£