Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
hakuna formula kwenye ndoa!sababu kubwa ni kwamba binadamu tunatofautiana sana sana!Tatizo la kuvunjika kwa ndoa limekuwa kubwa, sio hapa kwetu tanzania tu, bali pia ulimwenguni kwa ujumla.
Je unafanyeje ili kuidumisha ndoa yako?
Dondosha siri ya mafanikio ya kusimama imara kwa ndoa yako, ili na mwenzako aweze kunufaika na darasa jipya la ndoa.
sijafika uncle nikifika will let u knw!
hakuna formula kwenye ndoa!sababu kubwa ni kwamba binadamu tunatofautiana sana sana!
MIMI NITAKUPA SIRI YA KUISHI NA MWANAMKE!.....jifanye mjinga,utaifurahia sana ndoa yako.
tangaza kutafuta chombo hapa kwenye forum ili tuje kula pilau.
hiyo sio mbinu!...wala principle.ni one of the guidencesMBONA UMESHATUPA MBINU TAYARI?
jifanye mjinga,utaifurahia sana ndoa yako
tena umpate yule wa siku ile mpaka ukaamua kumtolea uvivummmh uncle hapa?do u real adivce that?
hahaaaaaaaaaaaaaa Bujibuji you are not serious!!! yule alinilizia pacha wangu ujue??tena umpate yule wa siku ile mpaka ukaamua kumtolea uvivu
tena umpate yule wa siku ile mpaka ukaamua kumtolea uvivu
Kiranja Mkuu una ruhusiwa kuoa mke wa pili?Nimekuwa nikimuita mke wangu mchumba.
Hii mbinu inanisaidia kila siku nimuone mpya na upendo wetu unadumu.
Lakini zaidi ya hilo, tunasali sana, tukitofautiana mawazo zu tukipishana lugha, tunaulizana, je bado unanipenda mchumba wangu?
Tunaombana msamaha, tunapiga magoti, tunasali, haleluya..
Siku zinasonga tukiwa na wingi wa furaha.
Msinyimane! mpeane wakati wowote mmojawapo anapohitaji...
imegundulika maugomvi mengi yanatokana na kunyimana kwenye ndoa...unakuta mume ameshamaliza kwa nyumba ndogo akija nyumban hoi hili nalo ni tatizo kwa ndoa nyingi...
Nimekuwa nikimuita mke wangu mchumba.
Hii mbinu inanisaidia kila siku nimuone mpya na upendo wetu unadumu.
Lakini zaidi ya hilo, tunasali sana, tukitofautiana mawazo zu tukipishana lugha, tunaulizana, je bado unanipenda mchumba wangu?
Tunaombana msamaha, tunapiga magoti, tunasali, haleluya..
Siku zinasonga tukiwa na wingi wa furaha.
mume mpende mke wako na mke mtii mume wako mkiweza kufanya haya kweli mtaishi kwa furaha
Msinyimane! mpeane wakati wowote mmojawapo anapohitaji...
imegundulika maugomvi mengi yanatokana na kunyimana kwenye ndoa...unakuta mume ameshamaliza kwa nyumba ndogo akija nyumban hoi hili nalo ni tatizo kwa ndoa nyingi...
nyongeza
mke una amri juu ya mwili wako ila mume wako hivyo mume una amri juu ya mwili wako ila mke yani mkitumia hii formula ni raha tu
jamani msingi wa ndoa ni mungu kwani yy ndo mwasisi wa ndoa kwahiyo majibu ya ndoa yapo kwenye biblia kila unachoitaji kujua juu ya ndoa kipo ndani ya bibilia kwani ndo user manual matatizo yanaanza pale watu wanapoacha kufata user manual ambayo ni bibilia
Nadharia ni nyingi sana ila practically hakuna formula hata moja. Every case is unique, so deal with it accordingly ("Diseases never read books but doctors do"). There is no rule of a thumb in this business.
Halafu wengi wetu bado tuko wachanga. Tutakuwa tunajidanganya kama tujaribu kukupeni theory ya kudumisha ndoa. Mimi naamini kwa 50% kuwa ndoa yangu itadumu na hizo nyingine gari langu liko neutral. Safari inaweza kuanza wakati wowote.