Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Inakuwaje ni nyakati za sikukuu tu ndiyo tunakumbuka kuwajali wasio na uwezo halafu sikukuu zikipita tunaingia mitini?.............Hivi hatujui ya kuwa wanyonge hao wanatuhitaji haswa hiyo miezi lukuki kulikoni hata hizo sikukuu.......................ambapo watoa zawadi huiita vyombo vya habari ili wapate thawabu yao hapahapa duniani?
Kweli matatizo ambayo sisi viongozi ndiyo tumeyachangia sasa twayageuza kuwa kivuno chetu cha kisiasa.......................jamani tuache unafiki na tuwe wa kweli..........................
Lawama nyingine hazifai. Hata kama ameita waandishi wa habari au wamejipeleka la msingi ni kwamba amechangia kwenye siku muhimu kwa hao wanaopokea kama wewe ulivyowatakia heri wenzio kwenye sikukuu zinazowahusu. Kila jambo likikaa kisiasa hatuendi mbali. Iulize nafsi yako kama kabla ya kulalamikia hili na kuliita unafiki, wewe umechangia vipi.