Unafiki na Uzandiki kwa baadhi ya Viongozi waliopewa dhamana ni tatizo

Unafiki na Uzandiki kwa baadhi ya Viongozi waliopewa dhamana ni tatizo

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Unafiki, Uzandiki ulio kubuhu ni tatizo kubwa sana kwa baadhi ya watendaji walio pewa dhamana katika nafasi mbalimbali.

Tatizo hili limekuwa na kukomaaa kila mahala kiasi kwamba hata usomi /taaluma na uwezo wa mtu unaweze usionekana, ukiwa mweledi wa Unafiki, fitinana uzandiki au Majungu basi unaweza kutamba kila kona.

Nawashauri viongozi wote wenye dhamana katika maeneo yao waachane na tabia za Kuendekeza Unafiki, uzandiki fitina na majungu kwani mambo hayo yanapunguza ufanisi makazini.

Tukemee unafiki, fitina, uzandiki na majungu sehemu za kazi.
 
Wanadai mfumo ulivyo bila unafiki, uzandiki, fitina na majungu huezi kuendana na mfumo ndio maana viongozi wengi wamekomaaa vichwa (vigumu) kisa mambo hayo.
 
hii tabia ni tatizo kubwa kwa baadhi ya watendaji wetu.

tuche hizo tabia
 
Back
Top Bottom