njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ajabu sana aisee makanjanja na utopwinyo kumzodoa Clatous chama kwamba alikosea kuondoka Berkane kisa wameshinda confederation cup huku wakisahau jamaa jina lake lipo miongoni mwa watakaopokea medali maana mechi za shirikisho alicheza kwenye team hiyo
Makanjanja na utopwinyo yanamsifu Razak fiston ambaye sidhani hata kama amecheza dakika moja ya hiyo michezo...mtu anaandika maneeno meengi kumnanga Chama akijifanya anamuonea huruma na kudai angekuwa mvumilivu anasahau kumuambia msuva angekuwa mvumilivu leo angekuwa anacheza fainali na ahly
Huyo chama mnayemuonea huruma siyo mshamba wa hizo level alishawahi kufika nusu fainali klabu bingwa afrika na zesco ya lwandamina