Ilitara kimura
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,888
- 1,867
Unawaita wenzio jitu,basi wewe ni LIJITU.Jitu lipo kila siku lina zurura kariakoo kutafuta ugali wa wanawe kiasi kwamba siku lisipoenda linakufa njaa yeye na mitoto yake, lakini utakuta lipo hapa JF linalaumu eti rais hachukui hatua.
Ningekuwa mimi Magufuli ningesambaza jeshi mtaani hasa nijini na kupiga marufuku ya watu kutoka nje kwa wiki 2 tu, yani wiki 2 tu wala siyo tatu wala nne, nakwambia hata haya machadema mbona akili zitarudi tu!
Hata hawa maaskofu wanaopiga kelele za corona huku wakiendelea kuruhusu misa, ningekuwa Magufuli piga ban ibada zote kwa miezi miwili tu uone kama akili hazijawakaa sawa. Sasa hivi wanaoiga kelele si makapu ya sadaka bado kila jumapili yana jaa!
Yani kama wewe unavyowaza,na yeye huku anawaza akithubutu tu kufanya unachomshauri hapati kodi,miradi yake yote itasimama.Jitu lipo kila siku lina zurura kariakoo kutafuta ugali wa wanawe kiasi kwamba siku lisipoenda linakufa njaa yeye na mitoto yake, lakini utakuta lipo hapa JF linalaumu eti rais hachukui hatua.
Ningekuwa mimi Magufuli ningesambaza jeshi mtaani hasa nijini na kupiga marufuku ya watu kutoka nje kwa wiki 2 tu, yani wiki 2 tu wala siyo tatu wala nne, nakwambia hata haya machadema mbona akili zitarudi tu!
Hata hawa maaskofu wanaopiga kelele za corona huku wakiendelea kuruhusu misa, ningekuwa Magufuli piga ban ibada zote kwa miezi miwili tu uone kama akili hazijawakaa sawa. Sasa hivi wanaoiga kelele si makapu ya sadaka bado kila jumapili yana jaa!
Elimu, Elimu, Elimu...Jitu lipo kila siku lina zurura kariakoo kutafuta ugali wa wanawe kiasi kwamba siku lisipoenda linakufa njaa yeye na mitoto yake, lakini utakuta lipo hapa JF linalaumu eti rais hachukui hatua.
Ningekuwa mimi Magufuli ningesambaza jeshi mtaani hasa nijini na kupiga marufuku ya watu kutoka nje kwa wiki 2 tu, yani wiki 2 tu wala siyo tatu wala nne, nakwambia hata haya machadema mbona akili zitarudi tu!
Hata hawa maaskofu wanaopiga kelele za corona huku wakiendelea kuruhusu misa, ningekuwa Magufuli piga ban ibada zote kwa miezi miwili tu uone kama akili hazijawakaa sawa. Sasa hivi wanaoiga kelele si makapu ya sadaka bado kila jumapili yana jaa!
Kazi unayoijua ni ya shamba tu?Ungepoteza huu muda kufanya kazi za shamba kuliko kuandika upuuzi huu ambao hata Polepole akiuona anakufukuza kazi.