Unafiki wa Clouds Media: Wasitisha top 20 ili kucover msiba wa Agnes

Huu ndio msisistizo? Kwanza gramma hujui! Andika kiswahili tu did na had hapo umechanganya mafuta na maji inauma halafu enzi hizo ni elimu ya kidato cha pili tu!
Ha ha ha haaa....

Nimecheka kwa dharau..
 

Kwa maana hii inamaanisha leo kusingekua na shughuli ya kumuaga uyo mnyange maana wenye sifa wasingezidi 10 wakati wa kesi alikua na familia yake tu,ameumwa alikua na familia yake tu ila leo wasanii wote walijazana sio hao clouds tu hata media kibao zilikua busy na hii ishu ikiwemo JF ilibidi hata hapa kusiwe na uzi kuhusu yeye.
Kumbuka alipopigwa ile faini baada ya kesi umu ndani watu walimaindi sana kua serikali inalea hawa DD walitaka binti achezee mvua za kutosha ila leo kafa kuna thread kibao ikiwemo na hii yako na lundo R.I.P watu wanajifanya wana mahaba nae BTW ivi mnashikiwa mtutu kuwasikiliza hao Clouds mbona kuna media house kibao tu.
 
sasa hapo kuna unafiki mkuu ,,au naww nikama nabii tito
 
sasa hapo kuna unafiki gani mkuu?...au naww dish limecheza kama nabii tito
 
Ww ndo mnafk sana aiseeee

Yan ulitaka wafanyaje sasa
 
Khaa!!! Sasa hapo unafiki wao uko wapi, we ulitaka wafanyaje!? Kwan enzi za uhai wa marehem walikuwa na ugomvi,
Mfano Marehemu angekuwa ni mwanamuziki, halafu enzi za uhai wake wangrkuwa hawapig muziki wake halaf baada ya kifo wakafanya hivyo, kwa mbaaaaaaaaali ningeona logic yako, japo kwangu isingekuwa unafiki maana kifo ni habari nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…