Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Wakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977.
Wakati ule alisema katiba ya mwaka 1977 moja ya ubaya wake ni mamlaka makubwa ya raisi.
Cha ajabu leo anageuka anasema eti mamlaka makubwa ya rais siyo tatizo kabisa.
Hebu msikilize hapa enzi hizo akielezea tatizo la madaraka makubwa sana ya rais katika katiba yetu ya mwaka 1977