Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
I hate him, very soon atasema hiyo draft ya katiba alitengeneza Mzee Warioba na familia yake, waliyotengeneza wao siyo hiyoWakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977.
Wakati ule alisema katiba ya mwaka 1977 moja ya ubaya wake ni mamlaka makubwa ya raisi.
Cha ajabu leo anageuka anasema eti mamlaka makubwa ya rais siyo tatizo kabisa.
Hebu msikilize hapa enzi hizo akielezea tatizo la madaraka makubwa sana ya rais katika katiba yetu ya mwaka 1977
Njaa inamtesa. Anajaribu kurudi kwa Mama lakini nyakati zimemkataaWakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977.
Wakati ule alisema katiba ya mwaka 1977 moja ya ubaya wake ni mamlaka makubwa ya raisi.
Cha ajabu leo anageuka anasema eti mamlaka makubwa ya rais siyo tatizo kabisa.
Hebu msikilize hapa enzi hizo akielezea tatizo la madaraka makubwa sana ya rais katika katiba yetu ya mwaka 1977
Hapo anaelekea ofisini au anaenda darasani kuwarubuni wanafunzi wake?Babu Poulepoule ni mnoma sana!ππππ
Hata haeleweki ndugu yangu.Hapo anaelekea ofisini au anaenda darasani kuwarubuni wanafunzi wake?Babu Poulepoule ni mnoma sana!ππππ
Awe anapikiwa uji wa ulezi na mbogamboga labda akili zitamrudia.Njaa inamtesa. Anajaribu kurudi kwa Mama lakini nyakati zimemkataa