Unafiki wa Vyombo vya Habari Tanzania

Juzi hata kabendera kawapa dongo kuwa hawatoi habari za kesi ya mbowe inavyoendelea ila wanasubiri jaji akihairisha kesi ndo wanatao habari fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtazamo kutoka kwa mtu mwenye akili ndogo.
Sawa
 
Taalumu ya uandishi wa habari imevamiwa na viwavi wasio jua chochote kuhusu uandishi na maadili yake vyombo vingi vimekuwa pro- government ili kusubili teuzi kwa hisani ya viongozi wa CCM.
 
Taalumu ya uandishi wa habari imevamiwa na viwavi wasio jua chochote kuhusu uandishi na maadili yake vyombo vingi vimekuwa pro- government ili kusubili teuzi kwa hisani ya viongozi wa CCM.
Baada ya kugundua Rais anateusa sana MaDC na MaDED wengi waandishi wa habari basi imekuwa ni mavi matupu uandishi wao.
 
Kila ubaya utalipwa
 
Taalumu ya uandishi wa habari imevamiwa na viwavi wasio jua chochote kuhusu uandishi na maadili yake vyombo vingi vimekuwa pro- government ili kusubili teuzi kwa hisani ya viongozi wa CCM.
Rushwa ya madaraka inatuponza sana
 
Akili za watu kuhusu consciousness zishadumaa mmmno kisa ubabe wa mwenda...
Hata yale ma NGO's yaliyoteteaga haki zawatu sahivi kimyaaaa!!
Umeona saivi wazir Mweugulu anakopa kujenga barabara chakechake pemba... Nchi imekua holaaa kabisa mxyiuuuu
Wote wapo chali
 
Serikali hii ya sasa ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwendazake .... Tutajionea mengi sana
 
Wewe itakuwa mfuasi wa magaidi
Hakuna ubaya kuwa mfuasi wa magaidi kama magaidi wenyewe ni wapenda haki.
Bora kufa umesimama kuliko kufa umepiga magoti au kuwa chawa kama wewe.
Tukikuuliza tu hapa maana ya neno gaidi unaweweseka kujibu maana una akili za kichawa.
 
KUANZIA SIKU AMBAYO KINACHOITWA JUKWAA LA WAHARIRI (TEF) WALIPOFUNGA NDOA HARAMU NA SERIKALI VYOMBO VYA HABARI VYA BONGO VILIBAKI MAIGIZO! ULIISHAONA WAPI ETI WAHARIRI WANAFANYA MKUTANO MKUU UDHAMINI WA MKUTANO WANATEMBEZA BAKULI SERIKALINI? HATUNA VYOMBO VYA HABARI KWA SASA. NA HII TEF IMULIKWE, NA IKIWEZEKANA ICHUNGUZWE NA MITANDAO YA KIJAMII, KISHA IENDESHWE KAMPENI KUBWA MITANDAONI YA KUTAKA IFUTWE KABISA!
 
Wengi wao waandishi wa habari wako compromised. Wanatamani teuzi za u- DC nk. Badala ya kuwa "mhimili wa 4 wa Dola" kama wanavyopenda kujiita; wamekuwa chombo cha mhimili mmoja wa Dola!
 
Mnapolaumu vyombo vya habari hamna budi muangalie mazingira ya kazi. Mjue kuna sheria mbalimbali ambazo si rafiki wa vyombo hivyo. Mtalaumu lakini ukweli ni kwamba mazingira ya leo ya utendaji kazi si ya zama zile.
 
Vyombo vya habari vinajidanganya kuwa kwa kukaa kwao kimya vitakuwa salama.
 
Mnapolaumu vyombo vya habari hamna budi muangalie mazingira ya kazi. Mjue kuna sheria mbalimbali ambazo si rafiki wa vyombo hivyo. Mtalaumu lakini ukweli ni kwamba mazingira ya leo ya utendaji kazi si ya zama zile.
Manyerere Jackton
Nimejificha nyuma ya pen name lakini mimi na wewe tumefanya pamoja kule Business Times.....

Unapotetea kuyumba kwa msimamo inaleta ukakasi na hasa kuaminisha jamii kwamba wanahabari Tanzania mpo compromised. Kwani kutoa taarifa kwa umma kuwa POLISI WANAMSHIKILIA FULANI KWA SIKU KADHAA BILA KUMPELEKA MAHAKAMANI mnakuwa mmekiuka sheria au kanuni ipi?

Enewei, kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe imeruhusiwa na Mahakama kuwa umma ujulishwe kupitia meadia lakini mpaka sasa inaripotiwa live na watu wanaojitolea kupitia kurasa zao za kijamii. Lakini mainstream media tunawaona tu mkipanga foleni kusubiri teuzi za kisiasa.

Nashauri kwamba, TEF mjiengue kulinda heshima yenu mliyoijenga kwa jasho na damu ili muwapishe vijana ambao mmewakuza kwenye tasnia.

Cream ya kina Karashani (R. I. P.) Iliwaachia kizazi chenu na nyie msifike mahala mkaonekana ni wachumia tumbo.

Badilikeni acheni visingizio visivyo na mantiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…