Unafiki wa wabunge wetu

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
nimekuwa nafuatilia kwa karibu vikao vya Bunge vinavyoendelea sasa huko Dodoma. wabunge wengi sana hasa wa CCM ni wanafiki wakubwa katika kuchangia bajeti.

mbunge anasimama anaunga mkono hoja 100% kabla ya kuanza kuchangia....lakini ukiangalia kwa makini wakati anachangia hiyo 100% ya kuunga mkno hoja huioni...

kuna tatizo gani?

ni unafiki ulikidhiri na huu ni mchezo wa kuigiza maana kila kinacholetwa mbele ya wabunge kinapita bila kupingwa mbali na mapungufu yote yanayojitokeza katika michango.

I am pissed off siangalii tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…