je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Siku mbili tatu kuliibuka mijadala mtandaoni kama Instagram FB Twitter na mitaani kuhusu kijana Mwakinyo kumwambia Matumla kuwa hana alipofika kutokana na kile alichokisema kama mchambuzi siku ya pambano kuwa Mwakinyo anatakiwa kutafuta kocha mwingine
Maana kuwa hakuwa na mbinu za kumpigia Tinampay na badala yake alikuwa akilalia kamba tu. Ni kitendo kilichomuhuzinisha Mwakinyo na kusema aliyo yasema.
Sasa suala linakuja wabongo wengi haswa haswa wenye kumiliki vifollowers walipiga kelele kwamba Mwakinyo hana heshima na badala yake anatakiwa kuomba radhi.
Sasa bwana leo wamekutanishwa Azam TV na kuombana radhi lakini chakushangaza wale walipiga firimbi na zumari waliokuwa wanataka Mwakinyo aombe radhi wametulia tuli kama hawaoni kilichotokea kwamba watu wameombana msamaha.
Hiii inaonesha ni kwamba watanzania waliowengi haswa wenye followers ni wepesi Sana katika kuchafua watu kuliko watu kuliko kuwasafisha
Watanzania hawapendi mtu awe maarufu kuliko wao awe na kipato kuliko wao hii ni chuki na roho mbaya Kwa baadhi ya watanzania haswa wanaomiliki followers wa kuchovya