Unafiki wa wazanzibar


Kuomba au kutoomba radhi inategemea uungwana wako. Kama si Muungwana tutakuelewa tu. Wakati ZFA itakapofika zamu yake ya kuiwakilisha Tanzania katika FIFA basi kocha hata awe Abdulghan Msoma atakwenda hadi Kibondo na Sengerema kutafuta vipaji huko na tutatumia vi-dola kutoka FIFA kwa kuendeleza kandanda katika eneo lote la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hapo tutategemea kuiona TFF ikaa bench bila ya malalamiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…