Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Mjinga mm una akili sana, watu wataingia barabaran kufa tena wa tabaka la chini kabisaa kupigania haki ambayo maslah yake ni tabaka la katiNdo maana mimi bwana uwa sifati mkumbo.kwenye mambo ya siasa.kuna wengine uwa Wana kuwa wanaharakati sababu ya kubanwa maslahi yao sio Kwa akili ya watu.
Kama maria sarungi kipindi Cha kikwete alikuwa karibu na watu wa ccm.alikuww na kampuni yake ya media ya compass.alikuwa anapata madili ya matukio ya viongozi.alipokuja magufuli zile semina akakata.BIFU NA HARAKATI ZIKAANZA
Kwani, ulikuwa huwajui? Hao ndiyo wazanzibari wanaotumia muungano kutunyonya na kutuona wapumbavu kwa kuwavumilia badala ya kuwatimua warudi kwao wakamalizane wao wenyewe. Najua wanao mgogoro kati ya Pemba na Zanzibar, mabaki ya waarabu na vizalia vya wamakonde watumwa, waliokuwa watumwa na watumikishajiPamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa.
Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo.
Watanganyika mjitathmini!
Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa.
Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo.
Watanganyika mjitathmini!
Huku ndiko tunakoelekea.Mimi nashauri huu muungano uvunjike tu ila kila mtu ajivunie nchi yake. Binafsi nina mapenzi zaidi na Tanganyika kuliko Tanzania.
Hahaha 😆 umeona eehMjinga mm una akili sana, watu wataingia barabaran kufa tena wa tabaka la chini kabisaa kupigania haki ambayo maslah yake ni tabaka la kati
Alafu wanajiona mashujaa na wazalendo. Mama kaongez bajet ya miradi ys kukomboa vijana na wlemavu kwa bajeti ya bilion 900 kama alivyosema kwenye kampeni zake. Wakati mara ya mwisho ilikuwa around bilion 700 kwa maelezo ya H polepole ni uongo wa wazi.Hahaha 😆 umeona eeh
Vijana hawaeleweki wanataka nini!Alafu wanajiona mashujaa na wazalendo. Mama kaongez bajet ya miradi ys kukomboa vijana na wlemavu kwa bajeti ya bilion 900 kama alivyosema kwenye kampeni zake. Wakati mara ya mwisho ilikuwa around bilion 700 kwa maelezo ya H polepole ni uongo wa wazi.
Swali je ni mtanznia gan ambaye hana mtaji kijana mtaani aliwah kupata hiyo mikopo ztoka kuanzishwa kwake?. Zama za magufuli kuna vijana walipewq hela usiku stendi laki 3-tatu kila mmoja. Mana magufuli alipitisha greda la utathmin na watu walihaha usiku ule pale mbagala
Katika kitu ambacho kwa sasa wazanzibar na wa oman awataki hata kukisikia ni neno kuvunja muungano ...wanaweza hata kukuua ila muungano usivunjike ...Mimi nashauri huu muungano uvunjike tu ila kila mtu ajivunie nchi yake. Binafsi nina mapenzi zaidi na Tanganyika kuliko Tanzania.
Kuzungumzia maafa siyo sheria kila mtu ayazungumze, Wazanzibari walishapitia changamoto zao za uchaguzi sasa hivi wameshajifunza wameamua kujenga nchi yao. Sasa hivi ni zamu yetu tutajifunza maisha yataendelea. Halafu kwenye maisha inaweza ikafikia hatua ukaamua kukaa kimya ili upate amani ya moyo, kuliko kujifanya shujaa uanze kuishi kama digidigi. Kuna watu wako nje ya nchi wanatamani warudi Tanzania, ila jinsi walivyovuruga humu ni bora waendelee kuishi nje kwa Political Asylum.Pamoja na kusikia idadi kubwa ya wananchi kufariki wakati wa uchaguzi/ maandamano October 29 mwaka huu Wazanxibari woke kimya kabisa.
Si Rais Mwinyi wala wanaharakati kama Fatma Karume wamenyanyua mdomo.
Watanganyika mjitathmini!
Uvccm acheni upumbafu,na nyinyi mtafikiwa na huyu dictator, aliyejipachika uraisiAlafu wanajiona mashujaa na wazalendo. Mama kaongez bajet ya miradi ys kukomboa vijana na wlemavu kwa bajeti ya bilion 900 kama alivyosema kwenye kampeni zake. Wakati mara ya mwisho ilikuwa around bilion 700 kwa maelezo ya H polepole ni uongo wa wazi.
Swali je ni mtanznia gan ambaye hana mtaji kijana mtaani aliwah kupata hiyo mikopo ztoka kuanzishwa kwake?. Zama za magufuli kuna vijana walipewq hela usiku stendi laki 3-tatu kila mmoja. Mana magufuli alipitisha greda la utathmin na watu walihaha usiku ule pale mbagala
Most do sacrifice their soul for funny events. Wanadhan kama kufata upepo wa movement za gen z Afrika ni uzalendo na fashion. Mbaya zaidi maamdano haya hapa bongo hayana kichwa kinachoyaongoza kwamba mama akiondolewa pale huyu tunamuamini apewe au akae kama serikal ya mpito kam inavyodaiwaVijana hawaeleweki wanataka nini!
Wajumlishe na TEC nao kipindi hiki wamekamatwa kisawasawa ndio maana mikelele mingiNdo maana mimi bwana uwa sifati mkumbo.kwenye mambo ya siasa.kuna wengine uwa Wana kuwa wanaharakati sababu ya kubanwa maslahi yao sio Kwa akili ya watu.
Kama maria sarungi kipindi Cha kikwete alikuwa karibu na watu wa ccm.alikuww na kampuni yake ya media ya compass.alikuwa anapata madili ya matukio ya viongozi.alipokuja magufuli zile semina akakata.BIFU NA HARAKATI ZIKAANZA