•Hakikisha unatumia mbegu bora za miti.
•Unaandaa kitalu katika eneo salama.
•Udongo umechanganywa kwa uwiano sahihi.
•Nguvu kazi yenye ujuzi na weredi.
•Kuweka ulinzi kwa wanyama na wezi.
Haya yote utayapata #MitiSmart kwa ghalama nafuu na ubora zaidi.