Unafikiri mipaka ya nchi miaka 40 ijayo itakuaje?

Unafikiri mipaka ya nchi miaka 40 ijayo itakuaje?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Habari wakuu.

Mipaka ya nchi ni kitu kinachobadirika kila leo. Miaka 30 iliyopita kulikuwa na nchi kubwa ya USSR. Leo haipo, imetoa nchi kibao.

Ujerumani haikuwa nchi moja, hakukuwa na Sudan kusini wala Somaliland. Leo Kurdistan ni kama nchi, Syria inataka kuvunjika nk.

Unaionaje mipaka ya dunia miaka 40 ijayo? Ethiopia na Nigeria zutavunjika? Korea zitaungana? EA itakuwa nchi moja? Vipi EU? DRC itakuwa nchi moja?

Mabadiliko gani unayaona kwenye mipaka ya dunia baada ya miaka 40?
 
Back
Top Bottom