Unafikiri ni kauli ipi inatisha kuliko zingine kwenye dala dala?

Badili mkao.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Naona maisha yanavozidi kuwa nganga ndo nyuzi za kuondolea stress zimekuwa nyingi.
 
Nilipanda daladala siku moja pale Tegeta kwa ndevu usiku kama saa tano hv,wale wapiga debe wako na style mpya ya kutangaza . walikuwa wanasema Ub** uko Bunju.....Wakimaanisha Boko Bunju.....
 
Utaiona pepo
Katika yote .... nyuma...umeitaja mara moja.
..Atakupa nyuma
..Hujapewa nyuma?
 
Yaani hakuna watu wenye maneno tena machafu kama makonda wa daladala jamani kuna siku nilikuwa iringa nilipanda daladala sasa konda akamrudishia chenji abiria hela ya noti ambayo imechanika abiria ni mwanaume akauliza mbona umenipa hela iliyochanika? Konda akamjibu yule baba kwani unataka nini mbona ww mwenyewe umechanika? Duhhh kilichofuata hapo ni shida.............
 
Mimi kauli zinazonitisha ni tabia ya makonda weengi wao hukuita/huita abiria majina sio

Mara utasikia shangazo hapo nyuma...mjomba vipi unaenda..haya mama mdogo yenye seat hii..
Anti unaenda mbagara
Anko unashuka kitua gani
Dent mpishe mama ako akae..

Dooh maana kama ndio kuomba udugu sio kiivyo sasa..teh
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] izi kauli Nouma sana joh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…