Unafikiri nini kilikuwa kinaongelewa kati ya Lipumba na Mbowe kwenye picha hii?

Fundi wao wa suti ni mmoja, Maana anajua kuchezea vitambaa kweli kweli, kwani ni lazima kuvalishana mabwanga kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…