Dada Kononde,Hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.Mtu kama huyu dawa yake nini? yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.
Hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.Mtu kama huyu dawa yake nini? yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.
Dawa ya moto ni moto. Tafuta mume yake, nawe ujirushe naye.
Oyaaaaaaaaaa!au beretta....ndio muafaka zaidi
Oyaaaaaaaaaa!
Hivi Asprin ni mwana-Apolo eeh?
teh teh teh
Dada Kononde,
Pole kwa maswahibu haya!
Lakini jibu la haraka ningekwambia kuwa huyo mdada anaanza kuleta za kuleta huenda tayari ana MIMBA ya pili ya mume wako!:glasses-nerdy:
Lakini kwa kesi kama hii, mi naona kama unalenga mashambulizi mahali kusiko!
Mtuhumiwa no1 hapo ni mumeo, na ndiye mbaya wako na siye yule anayekuropokea, maana anafanya hivyo kukutikisa na kutesti zali, huenda ukapagawa na kuacha nyumba yako, na yeye aingie, ajinafasi!
Kaa na bwanako/mumeo, akwambie shida hasa ninini, yeye ndio anaujua mpango mzima!
au beretta....ndio muafaka zaidi
pole,hao wawili bado wanapendana.hivi inakuwaje mtu anamchomeka maneno[kuniongelea mabaya] kwa my husband eti kisa kazaa nae,huyu bibi ilikuwa zake siku za nyuma nilimvumulia sana lkn siku 1 tulipeana kubwa na tangu siku hiyo alizipu mdomo wake,lkn sasa naona kaanza tena.mtu kama huyu dawa yake nini? Yaani ananikera naona kama anataka anialibie familia yangu.
wanapozungumza maswala ya mtoto kwenye simu anachomeka kama mkeo kamfanyia hivi mtoto,yaani ubaya tu wakati sio kweli mimi ni mama mzuri hata mumewangu anajua ila akiambiwa anakuwa nachanges za kutoniamini na hapo ndio mikwaruzo inapoanza.Kaanza tena kaanzaje? na huyo mumeo huwa anakwambia kwamba anapewa maneno ya umbea na huyo mzazi mwenzie wanapeanaje hayo maneno? sielewi hapo naomba nifafanulie kidogo nikupe kauzoefu mana hiyo kama inataka kufanana na stori moja hv