Unafuatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa?

Unafuatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa?

JF Toons

Digital Art by JF
Joined
Feb 19, 2024
Posts
33
Reaction score
73
1710414350545.png

Unafatilia Sera zinazotolewa na wagombea wa kisiasa? Au wewe unachoangalia ni ushindi wa chama chako bila kujali kama kina Sera njema kwa maendeleo ya Taifa?
 
Nigundue nini? Story zile zile..
Nitaleta Maji
Nitarekebisha barabara
Nitasogeza umeme
Nitajenga zahanati
Nita..

Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo.
 
Nigundue nini? Story zile zile..
Nitaleta Maji
Nitarekebisha barabara
Nitasogeza umeme
Nitajenga zahanati
Nita..

Ova anatusaidia vile wakati ni wajibu wa serikali kufanya ivyo.
Unashauri nini kifanyike Mkuu?
 
Back
Top Bottom